habari mpya

Sunday, April 13, 2014

TAZAMA PICHA 11 KUTOKA NYUMBANI KWA MAREHEMU MZEE GURUMO DAR USIKU HUU.

Sunday, April 13, 2014 - by Unknown · - 0 Comments








Maandalizi ya mazishi ya Mwanamuziki Mkongwe Muhidin Gurumo bado yanafanywa na familiamillardayo.com imefika nyumbani kwa marehemu na kuongea na mtoto wa kwanza wa marehemu Abdallah Muhidin Gurumo.

Abdallah amesema mpaka sasa kama familia wameamua mazishi yafanyike Jumanne ya
April 15 kijiji alichotoka marehemu Gurumo,Masaki wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani saa 4 asubuhi.

Hizi ni baadhi ya picha hizo.










 
Credit: millardayo.com
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKOTOA MAONI YAKO HAPA CHINI

BREAKING NEWS : MLIPUKO MKUBWA UNAOZANIWA NI BOMU WATOKEA ARUSHA. SOMA HAPA

- by Unknown · - 0 Comments



Taarifa kutoka kwa Mwandishi mwenzangu wa habari Arusha inasema kitu kinachoaminika kuwa bomu la mkono kimetupwa kwenye Bar ya Arusha night park Mianzini wakati watu wakitazama mpira.

Watu wa maeneo ya karibu kama Soweto walisikia mlio mkubwa ulioambatana na taarifa ambazo bado hazijathibitishwa kwamba vimetokea vifo na wengine wamejeruhiwa kwa kukatika mikono na miguu.
CREDIT :MILAD AYO

ANGALIA PICHA MBALI MBALI ZA MATUKIO YA MAFURIKO YA JIJINI DAR YALIVYO SASA

- by Unknown · - 0 Comments








Hapa ni eneo la Jangwani Uwanja wa Club ya Yanga na nyumba zilizopo pembeni yake pakiwa pamejaa maji na barabara ya jangwani kutokea Kigogo haipitiki.

Huu ni uwanja wa Club ya Yanga ukiwa umejaa maji.

Hii ni Braking News ya Daraja la Matumbi kutoka Buguruni kuelekea Ubungo.....

Jangwani......

Nyumba za jiraji na Jengo la Yanga Jangwani......

Mito ni kama hivi hatari tupu.....

Hatari tupu eneo la Mbagala.....

Lori likiwa limetumbukia baada ya barabara kukatika kutokana na mvua kubwa iliyosababisha maji kukatiza barabara eneo la Mbagala. Dereva ameokolewa na wasamariawema.

Wananchi wakihama baada ya nyumba zao kujaa maji....

Wananchi wakiokoana kimtindo......

Nyumba za Dar Villa Msasani.....

Hapa ni Bunju, .......



Sehemu ya maduka yaliyopo eneo la Kituo cha daladala cha ITV yakiwa yamezingirwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam. Kutokana na mvua hizo na maji kujaa kumesababisha msongamano mkubwa wa mago kuanzia jana jioni na leo.

Barabara ya kuelekea Goba....

Barabara ya Goba ikiwa imeharibika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.

Maji yakitiririka kwa kasi katika Mto Mbezi eneo la Bondeni...

Vijana wakitumia fursa vizuri kwa kujipatia mchanga unaotiririshwa na maji ambapo huwauzia madereva wa maroli.

Eneo la Mwenge karibu na kituo cha daladala.....


Moja ya daladala lililokuwa gereji likiwa limezingirwa na maji eneo la Mwenge....

Maduka ya Mwenge yakiwa yamezingrwa na maji.....

Mdada huyu alikuwa akipiga hesabu na kujiuliza jinsi ya kuvuka maji yaliyojaa na kukatiza barabara eneo la ITV.

Mwenge karibu na Zahanati......hakuna njia ya kuingilia Zahanati

Maduka eneo la Mwenge yamejaa maji....

Kazi haifanyiki leo katika maduka haya...

Mwenge eneo la Nakiete......

Maji yakikatiza barabara eneo la ITV.....

Mitungi ya Ges ikielea....

Njia panda ya Kwa Nyerere.......

credit: sufiani mafoto web

Sunday, March 30, 2014

OOOH NOO....POMBE SI CHAI...MASKINI MR NICE ACHEZEA KICHAPO CHA AIBUU BAADA YA KUMSARANDIA DEMU WA WATU...! HABARI KAMILI SOMA NA TAZAMA PCHAZ HAPA

Sunday, March 30, 2014 - by Unknown · - 0 Comments



 
Ooh! Noo! Mwanzilishi wa staili ya Takeu kwenye Bongo Fleva, Nice Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ amebondwa kwa mara nyingine na kusababishiwa majeraha makubwa mwilini, Ijumaa Wikienda lina kisa cha kusikitisha.
Habari za uhakika zilieleza kwamba tukio hilo lilijiri maeneo ya Sinza Afrika-Sana, Dar katika Klabu ya Ambiance.


Mwanzilishi wa staili ya Takeu kwenye Bongo Fleva, Nice Lucas Mkenda ‘Mr Nice’. Kikizungumza na Ijumaa Wikienda, chanzo makini cha habari ambacho kilishuhudia tukio hilo, kilisema kuwa Nice alikuwa








maeneo hayo akifanya yake katika kipengele cha moja moto na moja baridi, ndipo akaanza kumshobokea demu wa jamaa aliyekuwa meza ya jirani.


Shuhuda huyo alidai kwamba baada ya Nice kukolea maji, alianza kumsarandia mwanamke huyo aliyekuwa na midume kadhaa wakifanya yao.

Hata hivyo, ilisemekana kwamba Nice alitaka kutumia ustaa wake kunyang’anya demu ndipo mwenye mwanamke wake akahisi kudhalilishwa.

Ilidaiwa kuwa kilichofuata ni kwamba yule jamaa akishirikiana na washkaji zake walimshushia Nice kipigo cha shetani hadi akapoteza fahamu kisha wakaingia mitini.

“Aisee jamaa walimpa kipigo cha hatari utadhani wanaua mwizi kisha wakatimua zao.

“Ndipo watu wakaanza kumpa msaada lakini alikuwa tayari ameumizwa vibaya.

“Kiukweli jamaa walidhamiria vibaya, sijui walitaka kumuua maana hadi watu wanashtuka tayari Nice alikuwa nyang’anyang’a kwa kipigo hicho cha kutisha.

“Kilichofuata ilikuwa ni kukimbizwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar kwa ajili ya matibabu,” kilisema chanzo hicho.
Baada ya kupata taarifa hizo, Ijumaa Wikienda lilifika hospitalini hapo ili kutaka kujihakikishia kile kisemwacho ambapo wanahabari wetu waliambiwa kuwa mtu huyo yuko katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) hivyo haruhusiwi mtu kuingia.

“Ni kweli Nice yupo hapa hospitalini ameletwa akiwa hajitambui,


ameumizwa vibaya mno hivyo vuta subira kidogo aendelee kupewa matibabu, akipelekwa wodini utaenda kumuona,” alisikika nesi mmoja.


Pamoja na ugumu huo, wanahabari wetu hawakukata tamaa ambapo walijipenyeza ‘kimafia’ hadi hadi ndani ambapo walimkuta Nice amelazwa, hali yake ikiwa ni ya kusikitisha mno.

“Kaka wamenipiga sana, nimeumizwa bila hata sababu yoyote, sijui kosa langu ni nini, hapa nilipo nina maumivu makali kila sehemu ya kiungo cha mwili wangu, kila nikifikiria sijui nimewakosea nini wale jamaa,” alisema Nice kwa taabu.

Hata hivyo, kabla ya kukimbizwa hospitali alipitishwa katika Kituo cha Kijitonyama maarufu kwa jina la Mabatini na kupewa RB yenye namba KJN/RB/2698/014- SHAMBULIO LA KUDHURU MWILI.
Si mara ya kwanza kwa Nice kupigwa na kutolewa ngeu kwani miaka kadhaa iliyopita aliwahi kubondwa mara mbili hadi watu wakahisi amekata kamba (amekufa) kisha akapigwa picha za aibu.

HATIMAE LUPITA AONYESHA CHUP ALIYOVAA WAKATI AKIPOKEA TUZO YA OSCARS, TAZAMA PICHA HAPA

- by Unknown · - 0 Comments



 
Lupita’s sense of humor is refreshing and it is exciting to keep tabs on her because you never know what to expect. One moment she is super elegant, the next she is humble in an acceptance speech with an inspiring quote






and then she gets mischievous.
From photobombing her new friends in Hollywood, and ‘wrestling’ for her Oscar with Jennifer Lawrence, Lupita took to social media to show the world the panties she wore on the night she won an Oscar.
Captioned: #tbt#sparkly#scratchy Everything That Glitters For The Gold #UnderTheOscarDress

UTATA MTUPU...LADY JAY DEE ASEMAMAZITO HAYA: MIMI NA GARDNER TUNAISHI KAMA KAKA NA DADA...!SOMA ZAIDI HAPA...

- by Unknown · - 0 Comments



 
Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au Jide katika pozi na mume wake Gardner Habash ‘Kapteini’ .Kumbe! Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au Jide amefunguka kuwa yeye na mumewe, Gardner Habash ‘Kapteini’ kwa sasa wanaishi kama kaka na dada hivyo kuibua swali kivipi?


Akizungumza na Ijumaa Wikienda katika mahojiano maalum yaliyofanyika kwenye mgahawa wa staa huyo wa Nyumbani Lounge uliopo Ada Estate, Kinondoni jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita, Jide alisema







kuwa yeye na Gardner wamefikia hatua ya kuishi katika staili hiyo kutokana na mapenzi yao yaliyopitiliza.


“Gardner ananipenda sana na mimi pia vilevile nampenda sana mume wangu. Mapenzi yetu yamepitiliza hadi tunajiona kama vile tumezaliwa tumbo moja na ndiyo maana nawaambia kuwa mimi na yeye tunaishi kama kaka na dada,” alifunguka Jide.
Akiendelea kuzungumza kwa kujiamini, Jide alisema kuwa hadi simu ya mkononi wanatumia moja kwa






ajili ya mawasiliano.


“Mimi hapa sina simu, anayo mume wangu lakini wakati mwingine nakuwa nayo mimi ila muda mwingi anakuwa nayo Gardner,” alimalizia Jide.
Kwa makala zaidi kuhusu usichokijua juu ya maisha ya Jide, nenda kurasa za nane na tisa za gazeti hili.

TAZAMA VIDEO ILIYOIMBWA YA WIMBO ULIYOIMBWA NA WASANII ZAIDI YA 19 WA AFRIKA, AKIWEMO DIAMOND. D-BANJ, FALLY IPUPA....!!

- by Unknown · - 0 Comments





Zaidi ya wasanii watano kati ya wale 19 waliojumuika kutengeneza wimbo na video ya wimbo "Cocoa na Chocolate" kwa ajili ya kuhamasisha kilimo kwa vijana na kuwa kiimo kinalipa, wamekutana Lagos nchini Nigeria kwa ajili ya uzinduzi wa video hiyo,


huku watagazaji mbali mbali kutoka mchi mbalimbali nao wakihudhuria uzinduzi huo akiwemo Fetty, Fettylicious Fe;eh.

Zaidi ya wasanii 19 kutoka katika nchi mbali mbali Africa wakiwemo Diamond (Tanzania) D'Bhanji na Femi Kuti (Nigeria), Fally Ipupa (DRC) na wengineo walikutana nchni south Africa na kutengenea wimbo wa pamoja unaohamasisha vijana kujihusisha na maswala ya kilimo na kuwaambia vijana wa kiafrica kuwa maisha yao ya baadae yako chini ya miguu yao wenyewe na katika mikono yao wenyewe.
Video hiyo imeshakamilika na alhamis ya wiki hii itaonyeshwa katika TV station Mbali


Tizama trailer ya video hiyo iliyotoka leo hii

WOLPER GAMBE NA PENNY WAPIGA PICHAZ ZA MSHTUKO NA UTATA, KANA KWAMBA NI WATU WALIO JI KWICHI KWICHI WAO KWA WAO,,,YAANI NI KIMAHABA ZAID...JIONEE HAPA

- by Unknown · - 0 Comments



It was last nyt, kwa wale wanaemjua wolper na penny nazani watakuwa wameelewa kilichofata ni nii baada ya kupombeka, hebu check na picha hiyo chini






,

Picha hii imekaa kimahaba zaidi, na ukiangalia hapo hhahah hakuna kubisha it seems wolper mzee wa gambe na peny walishawaka sana, kama ulikuwa hujui hao wote ni ma x gal freind wa staa diamond the platnumz bas safi, I think they have great nyt last nyt, hala to them keep in touch.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI