Tuesday, March 12, 2013

Airtel yamzawadia mkazi wa Rufiji millioni 15 kupitia promosheni ya Amka millionea


Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando (kulia) akimkabithi mshindi wa mwenzi January wa promosheni ya Amka millionea bi Agnes Hassan Chakame mfano wa hundi ya shilingi million 15 baada ya kuibuka mshindi wa promosheni ya Amka millionea na Airtel na kujishindia kitita cha shilingi million 15. Agnes ni Mkulima na mkazi wa Rufiji mkoa wa pwani. Akishuhudia ni Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde akimkabithi mshindi wa mwenzi January wa promosheni ya Amka millionea bi Agnes Hassan Chakame mfano wa hundi ya shilingi million 15 mara baada kuamka mshindi wa promosheni ya Amka millionea na Airtel na kujishindia kitita cha shilingi million 15. Agnes ni Mkulima na mkazi wa Rufiji mkoa wa pwani. Promosheni ya Amka millionea bado inaendelea ili kujiunga andika neno SHINDA AU MILLIONEA kwenda namba 1559 Mshindi wa mwenzi January wa promosheni ya Amka millionea bi Agnes Hassan Chakame akionyesha mfano wa hundi ya shilingi million 15 mara baada kuamka mshindi wa promosheni ya Amka millionea na Airtel na kujishindia kitita cha shilingi million 15. Agnes ni Mkulima na mkazi wa Rufiji mkoa wa pwani.

Tags: ,

0 Responses to “Airtel yamzawadia mkazi wa Rufiji millioni 15 kupitia promosheni ya Amka millionea”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI