Sunday, April 13, 2014

Maandalizi ya mazishi ya Mwanamuziki Mkongwe Muhidin Gurumo bado yanafanywa na familiamillardayo.com imefika nyumbani kwa marehemu na kuongea na mtoto wa kwanza wa marehemu Abdallah Muhidin Gurumo.
Abdallah amesema mpaka sasa kama familia wameamua mazishi yafanyike Jumanne ya
April 15 kijiji alichotoka marehemu Gurumo,Masaki wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani saa 4 asubuhi.
Hizi ni baadhi ya picha hizo.









Sunday, March 30, 2014
Habari za uhakika zilieleza kwamba tukio hilo lilijiri maeneo ya Sinza Afrika-Sana, Dar katika Klabu ya Ambiance.
Mwanzilishi wa staili ya Takeu kwenye Bongo Fleva, Nice Lucas Mkenda ‘Mr Nice’. Kikizungumza na Ijumaa Wikienda, chanzo makini cha habari ambacho kilishuhudia tukio hilo, kilisema kuwa Nice alikuwa maeneo hayo akifanya yake katika kipengele cha moja moto na moja baridi, ndipo akaanza kumshobokea demu wa jamaa aliyekuwa meza ya jirani.
Shuhuda huyo alidai kwamba baada ya Nice kukolea maji, alianza kumsarandia mwanamke huyo aliyekuwa na midume kadhaa wakifanya yao.
Hata hivyo, ilisemekana kwamba Nice alitaka kutumia ustaa wake kunyang’anya demu ndipo mwenye mwanamke wake akahisi kudhalilishwa.
Ilidaiwa kuwa kilichofuata ni kwamba yule jamaa akishirikiana na washkaji zake walimshushia Nice kipigo cha shetani hadi akapoteza fahamu kisha wakaingia mitini.
“Aisee jamaa walimpa kipigo cha hatari utadhani wanaua mwizi kisha wakatimua zao.
“Ndipo watu wakaanza kumpa msaada lakini alikuwa tayari ameumizwa vibaya.
“Kiukweli jamaa walidhamiria vibaya, sijui walitaka kumuua maana hadi watu wanashtuka tayari Nice alikuwa nyang’anyang’a kwa kipigo hicho cha kutisha.
“Kilichofuata ilikuwa ni kukimbizwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar kwa ajili ya matibabu,” kilisema chanzo hicho.
Baada ya kupata taarifa hizo, Ijumaa Wikienda lilifika hospitalini hapo ili kutaka kujihakikishia kile kisemwacho ambapo wanahabari wetu waliambiwa kuwa mtu huyo yuko katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) hivyo haruhusiwi mtu kuingia.
“Ni kweli Nice yupo hapa hospitalini ameletwa akiwa hajitambui,
ameumizwa vibaya mno hivyo vuta subira kidogo aendelee kupewa matibabu, akipelekwa wodini utaenda kumuona,” alisikika nesi mmoja.
Pamoja na ugumu huo, wanahabari wetu hawakukata tamaa ambapo walijipenyeza ‘kimafia’ hadi hadi ndani ambapo walimkuta Nice amelazwa, hali yake ikiwa ni ya kusikitisha mno.
“Kaka wamenipiga sana, nimeumizwa bila hata sababu yoyote, sijui kosa langu ni nini, hapa nilipo nina maumivu makali kila sehemu ya kiungo cha mwili wangu, kila nikifikiria sijui nimewakosea nini wale jamaa,” alisema Nice kwa taabu.
Hata hivyo, kabla ya kukimbizwa hospitali alipitishwa katika Kituo cha Kijitonyama maarufu kwa jina la Mabatini na kupewa RB yenye namba KJN/RB/2698/014- SHAMBULIO LA KUDHURU MWILI.
Si mara ya kwanza kwa Nice kupigwa na kutolewa ngeu kwani miaka kadhaa iliyopita aliwahi kubondwa mara mbili hadi watu wakahisi amekata kamba (amekufa) kisha akapigwa picha za aibu.
and then she gets mischievous.
From photobombing her new friends in Hollywood, and ‘wrestling’ for her Oscar with Jennifer Lawrence, Lupita took to social media to show the world the panties she wore on the night she won an Oscar.
Captioned: #tbt#sparkly#scratchy Everything That Glitters For The Gold #UnderTheOscarDress
Akizungumza na Ijumaa Wikienda katika mahojiano maalum yaliyofanyika kwenye mgahawa wa staa huyo wa Nyumbani Lounge uliopo Ada Estate, Kinondoni jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita, Jide alisemakuwa yeye na Gardner wamefikia hatua ya kuishi katika staili hiyo kutokana na mapenzi yao yaliyopitiliza.
“Gardner ananipenda sana na mimi pia vilevile nampenda sana mume wangu. Mapenzi yetu yamepitiliza hadi tunajiona kama vile tumezaliwa tumbo moja na ndiyo maana nawaambia kuwa mimi na yeye tunaishi kama kaka na dada,” alifunguka Jide.
Akiendelea kuzungumza kwa kujiamini, Jide alisema kuwa hadi simu ya mkononi wanatumia moja kwa ajili ya mawasiliano.
“Mimi hapa sina simu, anayo mume wangu lakini wakati mwingine nakuwa nayo mimi ila muda mwingi anakuwa nayo Gardner,” alimalizia Jide.
Kwa makala zaidi kuhusu usichokijua juu ya maisha ya Jide, nenda kurasa za nane na tisa za gazeti hili.
,

Picha hii imekaa kimahaba zaidi, na ukiangalia hapo hhahah hakuna kubisha it seems wolper mzee wa gambe na peny walishawaka sana, kama ulikuwa hujui hao wote ni ma x gal freind wa staa diamond the platnumz bas safi, I think they have great nyt last nyt, hala to them keep in touch.
kwa ajili ya msanii diamond kwenda kufanya ngoma yake mpya, guys tukae mkao wa kula for the coming new music and video of diamond the platnumz, na pia tuwatakie safari njema na warudi salama amin
Muda mchache kabla ya kuanza kwa onyesho kubwa la Tubonge la msanii huyo, maofisa wa URA waliikamata gari yake hiyo ya kifahari.
Kwa mujibu wa mtandao wa Redpapper wa nchini Uganda,msanii huyo alijaribu kuwakatalia wasikuchukue gari lake akidai atakufa na mtu atakayeichukua lakini kauli hiyo haikufua dafu kwa mamlaka hiyo. “Hii ni gari yangu binafsi na nina haki yake, mtu yeyote akigusa Escalade yangu, nami tufe pamoja naye,” alidai Chameleone.
Hata hivyo Chameleone alidai kuwa hana tatizo lolote kulipa kodi lakini mamlaka hiyo haikutolea vigezo walivyotumia kupata jumla ya shilingi milioni 7 za Uganda ambazo ndizo pesa wanazomdai
Saturday, March 29, 2014
Steve Nyerere ambaye ni muigizaji wa filamu Swahiliwood na pia mwenyekiti wa kundi la Bongo Movie anadaiwa kuwa mnafiki kuwapatanisha Jackline Wolper na Irene Uwoya ambao walikuwa kwenye beef la muda mrefu huku yeye mwenyewe akidaiwa kuwa kinara wa kuanzisha mabifu yasiyokuwa na kichwa wala miguu na wasanii wenzake akiwemo Yobnesh Yusuph "Batuli". Chanzo kimoja kikizungumza na Swahiliworldplanet kilisema kuwa " Steve Nyerere ni mnafiki kupitia uongozi wa kundi lao la Bongomovie, anajidai kuwapatanisha Wolper na Uwoya huku akiwa kwenye bifu la kijinga na Batuli, ni mtu wa mabifu yasio na maana na wasanii wenzake, tunaomjua tunamdharau tu" kilisema chanzo hicho ambacho kipo ndani ya tasnia ya filamu nchini na pia ndani ya kundi la Bongo Movie.
Baada ya kurushiwa habari hizo ilibidi kumtafuta Batuli ambaye anatamba katika filamu, Batuli alikubali kuwa hayuko kweney maelewano mazuri na Steve huku akidai Steve ndiye chanzo cha bifu aliloliita la kijinga.
"Ni kweli mimi na Steve Nyerere hatuna maelewano mazuri kwa sasa kiisa ni cha kijinga sana, Steve alinipigia simu akinipa taarifa ya kuwa kanipanga kwenye movie yake ambayo kawashirikisha Bongo movie wengi sana, ambapo alidai ya kuwa hata malipo atayafanya baada ya kuuza movie hiyo nikakubali kwa sababu kwanza ni msanii mwenzangu, pili movie ndio kazi yangu, basi baada ya siku kadhaa Steve akanipigia simu akaniambia niende nika-shoot nakumbuka ilikuwa mchana nikashangaa sana kwa sababu kabla mtu haja-shoot huwa kuna maandalizi ambayo mhusika anatakiwa kuyafanya ambayo ni kwanza aijue story ya movie anayoenda kuicheza, baada ya kuijua story anaenda kuandaa nguo, viatu na vinginevyo vinavyotakiwa kutokana na story au script inavyosema"
Star huyo anayesika kwa urembo aliendelea kwa kusema " Nikamuuliza Steve mbona bofya<<<<hapa>>>>> kumalizia kusoma story hii.SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKOTOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Mashabiki wa Jose Chameleone wamethibitisha kuwa mvua haiwezi kuwakwamisha kushuhudia na kufurahia show yake ya Tubonge Live iliyofanyika Ijumaa jijini Kampala.

“As God blessed us with a rain shower we kept moving!!!! I am so happy and want to thank all my friends who endured the rain for me the TUBONGE PRIDE is yours may God bless you all. I love you all. We made HISTORY,” ameandia nyota huyo kwenye ukurasa wa Facebook.


Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania(TAFF) Simon Mwakifwamba amedai shirikisho lake haliwatambui wasanii wanaounda kundi la Bongo Movie Unity na kudai kuwa kundi hilo linaundwa na watu sita tu huku wengine wakifuata mkumbo.
Akizungumza na Global Publishers, Mwakifwamba ambaye pia ni muigizaji wa muda mrefu na muongozaji wa filamu amesema hawatambui wasanii hao na anawashauri wajiunge ili watambulike. “Bifu la nini? Mimi ni baba, wao ni watoto. Kwanza sikia… wale sio wanachama wangu.Nawashauri wajiunge kwenye vyama vyangu ili niwatambue kama sehemu ya shirikisho,” alisema.
“Kwanza Bongo Muvi si chama kama wengi wanavyofikiri, ni kampuni na ina wamiliki wake tisa, hao wengine wanafuata mkumbo kwa sababu hawajitambui. Kama wanabisha, waonyeshe usajili wao wa Basata, maana chombo pekee kinachosajili kazi za wasanii ni Basata.”
Hata hivyo Bongo5 imejaribu kumtafuta mwenyekiti wa BMU, Steve Nyerere kuzungumzia kauli hiyo, lakini amekuwa hapokei simu.
-Bongo5


, then the outfit with the judges-style wig and later at night in a revealing body suit. I thought she was over this phase?






SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Wiki iliyopita jarida la Vogue lilitoa picha ya jarada la jarida hilo na kuwaonesha Kanye West na Kim Kardashian wakiwa wamepoz kama watu wanaosubiri kufunga ndoa muda mfupi ujao au wanatoka kwenye tukio la ndoa.
Lakini baada ya kuanza kutolewa kwa picha za ndani za jarida hilo ambazo zinaionesha familia nzima ya bwana Kanye West, picha moja ilizua utata mkubwa hasa kwenye mitandao ya kijamii ambapo wengi walihoji kama kweli Kanye ni mtu wa kawaida ama ni ‘vampire’.
Kitu kilichopelekea kuzuka
kwa swali hilo, ni picha inayomuonesha Kanye West akitumia iPad kuwapiga picha Kim Kardashian na mtoto wao North West huku Kim Kardashian nae akijipiga picha (selfie), lakini nyuma ya Kim Kardashian na North inaonekana kuna ukuta wenye kioo.
Utata: Ingawa Kanye West anaonekana kutazamana na kioo kile, taswira yake haionekani kwenye kioo hicho na ndipo wengi walipohoji uhalisia wa kile wanachokiona kama kweli jamaa ni binadamu wa kawaida.
Shouldn’t….shouldn’t Kanye West be in the mirror? Alitweet Katherin Mirror na kuambatanisha na picha hiyo.
Mtu mwingine alionesha kushangazwa zaidi na kudai kuwa picha hiyo itafundishwa kama kozi kwenye masomo ya uandishi wa habari miaka 100 ijayo.
“This photo is going to be taught in every media studies course of the next 100 years.” Alitweet Mett Novak.
Source:YAHOO.COM VIA BONGO61
STAA wa filamu Bongo, Baby Madaha amesema tangu aanzishe uhusiano wa kimapenzi na meneja wake, Joe Kariuki hajawahi kukutana naye kimwili.
lina muda wake, haina haja ya kukurupuka.“Umri umeenda lazima niwe mtu mwenye msimamo si kila mwanaume nitayekuwa naye nitamvulia nguo, nitafanya hivyo muda ukifika,” alisema Baby Madaha.

Baada ya taarifa hizo kumfikia lulu alikua na haya ya kusema. "Doh naona imekuwa TOPIC ila sishangai Nina hiyo damu ya kufanya kitu na kikawa gumzoooo...!nadhani kitu kimoja watu hamuelewi Ku Copy na Ku Paste
huko mnakosema nyinyi cdhani Kama mnakuelewa...!hapa kilichofanana ni idea only not otherwise...!n ofcoz dunia tunayoishi hakuna kitu kipya ni vitu vile vile ila vinafanyika kwa namna ya tofauti....majadiliano hayakuwa mabaya coz ndo inamaanisha habari imefika vilivyo....nimejaribu kuiweka clear mana watu mpk vidole vinakaribia kupata sugu kwa kuandika comment hehehe...!tuachane na hayo ila dada @badgalriri dah nimekukimbiza kwa mbali heheheh.... @badgalriri @badgalriri @badgalriri @badgalriri @badgalriri @badgalriri ��������nione basi������....haya namalizia Kama bdo hutaki kukubaliana na maelezo yangu njia hii apa������������������������������������������������������������������Haina mafuriko,madimbwi wala foleni....kweupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!��Nawapenda lkn��"
Friday, March 28, 2014
Hata hivyo D’banj amesisitiza kuwa yeye na Kanye bado ni watu wa karibu kwenye biashara.
“Me and Ye (Kanye) are cool; the last time we spoke we talked generally about my career and what his visions are. He is still my mentor, he is still the one I go to when I need something,” D’banj alimuambia mtangazaji wa Uingereza Tim Westwood.
Koko Master pia alisema kuwa yeye na Kanye West wamepanga kufanya video ya wimbo wao are ‘Scape Goat’. “We are still working together. ‘Scape Goat’ is still in the working and we are still trying to work on the video. We just want to get everything right because we have done so much music together,” alisema.
-Bongo5
Baada ya Sinta Kupost Instagram akimshukuru Boss Lady Zari wa Uganda na watu kuanza kuanza kusema anajipendekeza na kuwa hana hadhi ya Zari Sintah aliamua kuwajibu hao baadhi ya watu kupitia Blog yake na katika majibu hayo amegusia kuwa subiri tumuone kwenye Jumba la Big Brother Africa ..na Kwamba alimwambia Zari See you Soon akiwa na maana wataonana kwenye Jumba Hilo.....Jisomeee hapo chini Mwenyewe na Ujumlishe na Kutoa kama ndio hivyo navyohisi mimi.....
yaani watu wengine mnataka tuwanike whatever we do in Social Media my dear some of us, went to school and learn Ethics in Diplomacy, hapa nimeandika coz naingiza hela nilikwambia nitukane IG,fb, Twitter siwezi kukujibu hapa nipo kama sintah na kule nipo kama Christine John Manongi
kama unaona nafaidi angekuita wewe Ug n you know what i never slept in the hotel nimeishi kwao na wazazi wake of course is not something to be proud of ndio maana nilinyamaza
sasa wewe unaeonekana kituko maana baada ya kuona ule upuuzi ambao mlio comment auone dada wa watu aliniuliza whats wrong with Tanzanians? maana anakijua kiswahili fika nikamwambia those are small minds pipo they think i benefit alot from you
sasa wewe unayeyaona maisha yake kwenye IG subiri na mimi unione ktk jumba lile la Big bro soon SA, ndio maana nilimwambia see you soon, take note ..... Cheers ukipata maumivu meza Hedex
kwa kifupi mmejichoresha mlio comment utumbo kawaona hamna akili kweli eti najigonga angekuwa anakupigia wewe simu basi unatamani sana lolest " SINTAH












