Tuesday, March 19, 2013

RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA TEHAMA LA CHUO CHA VETA KIPAWA


Rais Jakaya Kikwete akibonyeza kitufe wakati wa uzinduzi wa Chuo cha Tehama cha VETA Kipawa jijini Dar es Salaam jana. Kushoto Bolozi wa Korea, Young-Hoon. Kulia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Shukuru Kawambwa.
Rais Jakaya Kikwete akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Chuo cha Tehama cha VETA Kipawa jijini Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni Balozi wa Korea, Young-Hoon na kulia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Shukuru Kawambwa.
Rais Jakaya Kikwete akimwagilia maji mti baada ya kuzindua
Chuo cha Tehama cha VETA Kipawa jijini Dar es Salaam.


Picha ya pamoja.

Baadhi ya vifaa vinavyotumiwa kufundishia wanafunzi.
Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Zebadia Moshi akimuonesha Rais Jakaya Kikwete mashine za kisasa zinazotumiwa chuoni hapo.

Mwalimu wa Chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Veta Kipawa, Adrian Aloyce akimpa maelezo Rais Jakaya Kikwete wakati wa uzinduzi wa chuo hicho jijini Dar es Salaam.

Mwalimu wa Chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Veta Kipawa, Adrian Aloyce akimpa maelezo Rais Jakaya Kikwete wakati wa uzinduzi wa chuo hicho jijini Dar es Salaam.

Tags:

0 Responses to “RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA TEHAMA LA CHUO CHA VETA KIPAWA ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI