habari mpya
Showing posts with label udaku. Show all posts
Showing posts with label udaku. Show all posts

Sunday, March 30, 2014

KAULI ZA MJINI WANASEMA MICHEPUKO SIO DEAL, KWANINI UIBE MKE WA MTU?? TULIA NA WAKO, CHECK HUYU ALIVO UMBUKA NA KUAIBIKA BAADA YA FUMANIZ....

Sunday, March 30, 2014 - by Unknown · - 0 Comments










Saturday, March 29, 2014

KUTANA NA MREMBO MWANACHUO MWENYE KALIO LA AJA AMBAYE, WATU WANAHISI ANALITUMIA KUFAHURU MITIHANI

Saturday, March 29, 2014 - by Unknown · - 1 Comment




 
KUTANA NA MREMBO MWANACHUO MWENYE KALIO LA AJA AMBAYE, WATU WANAHISI ANALITUMIA KUFAHURU MITIHANI Anaitwa faith anasoma chuo kikuu cha mt kenya ambaye unaambiwa kila akikatisha korido za chuo hicho lazima watu waache wanachokifanya kwa jinsi alivyojaliwa huko nyuma.... na unaambiwa midume kibao wakiwemo mawaziri wanajigonga kila kukicha kwa binti huyo... hata hvyo inasemekana faith ni moto wa kuotea mbali linapokuja swala la peper jambo ambalo linawaacha watu na maswali kama kweli na akili zake au kalio linafanya kazi yake.


DUNIA INA MAMBO...ETI AUNT EZEKIEL ACHIZIKA KUPITA MAELEZO..KISA..BUSU LA MBWA...!!

- by Unknown · - 0 Comments


DIVA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameonekana kuchizika na busu la mbwa baada ya kunaswa akiwa amewabeba mbwa wawili na kufurahia mmoja wapo alipombusu. 
Diva wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel. Tukio hilo lilitokea juzikati nyumbani kwa Wema Sepetu, Kijitonyama, jijini Dar. Alipoulizwa furaha aliyokuwa nayo baada ya kubusiwa na mbwa huyo, Aunt alisema: “Haipimiki. Natamani na mimi kuwafuga.” My Blogger Tricks

KUNUKA KIKWAPA NA WEUSI KATIKATI YA MAPAJA YANGU VINANINYIMA RAHA

- by Unknown · - 0 Comments




 
Naomba niombe msaada kwenu wadau,nina matatizo sijui niseme shida ambazo kiukweli zinanikosesha raha,nimekua nikihangaika sana kutafuta dawa ya kumaliza harufu ya kikwapa,yaani ni kwamba nimejaribu kila aina ya deodorant,na perfumes za kila aina lakini harufu haiishi,itokee bahati mbaya nisahau kupata Deodorant jamani sio siri najisikia hata mimi mwenyewe jinsi ninavyotoa harufu kali,zaidi ya harufu makwapa yangu ni meusi,ajabu,niliambiwa deodorant za Forever Living zinasaidia kumaliza weusi makwapani lakini wapi sioni tofauti,nawaombeni mnisaidie jamani nakosa raha,kifupi harufu utadhani lile jasho wanalonuka wanaume,wakati mwingine nafikia hata kujinyanyapaa mwenyewe,kwa kutokwenda kwenye shuhuli,nahisi wenzangu wananisema,shida inakuja muda wa kazi,kwani siwezi kukwepa kwenda ofisini,kiukweli it is so embarrassing.

La pili,huohuo weusi,katikati ya mapaja nako hakufai,yaani nikipanua miguu utadhani nimesilibwa lami hapo kati,nimejaribu kutumia mikorogo,haikusaidia,cream zile za hospitali za ngozi,pia nimejaribu,angalau kidogo utaona natakata,tatizo lake baada ya muda yanatoka mapele kama vijipu nashindwa hata kutembea shauri ya friction,nilipata ushauri wa kuvaa skin tight ili kuepusha friction,lakini lile la weusi lipo palepale,wenzangu nawaomba,kama kuna mtu alishawahi pata matatizo kama yangu,naomba msaada tutani,jamani siyo siri,pamoja na kutaka nionekane maridadi,lakini pia wakati wa majambos si mwajua kuna muda wa mahabuba kwenda down,sasa inapofikia hapo,dah,najisikia aibu kwa maana naona kama vile najichoresha,na jamaa yangu huwa hakubali bila kunipagawisha kwa njia hiyo,sasa nipo na wakati mgumu
.
Huwa napendelea sana kusoma story kila wikiendi ila wamama/wadada saa nyingine mna maneno makali ambayo yanatukatisha tamaa kuomba ushauri humu,nawaombeni jamani,wengine hatuna pa kusemea wala wa kutupa ushauri wa kweli,tusaidiane jamani,Samahani kama nimewakwaza

FICHUA MAOVU TUNAENDELEZA::FACEBOOK YAINGILIWA NA MAKAHABA:CHEKI PICHA HAPA, JE NI SAWA KWA MADADA ZETU WANACHOKIFANYA FACEBOOK

- by Unknown · - 0 Comments




ANAITWA  NEEMA PAUL MALIMO NI JINA ANALOTUMIA FACEBOOK , NA AMEKUWA NDIO TABIA YAKE KUWEKA PICHA ZA KUWATEGA WANAUME NA KUWATAKA WAMPIGIE SIMU ILI AWEZE KUWAPA PENZI HILO KWA MAELEWANO....  NI KAHA*BA WA KUTUPWA KWANI AMEKUWA

 AKIWEKA PICHAZAKE ZA K*MA.... NA INASEMEKANA NDIO BIASHARA YAKE ANAYOIFANYA KWANI SOKO LAKE ANALITEGEMEA FACEBOOK...!!!
JAMANI MJIHADHARI UKIMWI UNAUA






















NB:FUNGA KAZI,kutizama picha ya 6 click picha inayoonekana hapa chini nimeificha maaana haina maadili kabisa

KANGA MOKO, VIGODORO NA T-SHIRT NDEMBENDEMBE VYAOIGWA MARUFUKU MISS TANZANIA

- by Unknown · - 0 Comments




 
BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata), limeitaka Kamati ya Miss Tanzania kutohusisha burudani zinazokiuka maadili ya Mtanzania wakati wa mashindano yao mwaka huu.

Akizungumza wakati wa kikao cha tathmini ya mashindano ya Miss Tanzania 2013 kilichofanyika kwenye ukumbi wa baraza hilo, Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Idaya ya Ukuzaji Sanaa Basata, Vivian Shalua, alisema kuwa, maadili ni muhimu kuzingatiwa katika mashindano hayo ili kuepukana na dhana potofu kuwa, yanahusiana na uhuni.

“Maadili yazingatiwe katika mashindano ya mwaka huu, kuanzia kwa washiriki hadi burudani zitakazohusishwa, kama ‘vigodoro’, ‘kanga moja mbendembende’ na nasikia siku hizi kuna ‘tisheti ndembendembe’,” alisema mkurugenzi huyo.

Alisema kuwa, Basata ipo tayari kuyapigania mashindano ya Miss Tanzania kuhakikisha yanakuwa katika ubora wa hali ya juu, kwa kushirikiana na Kampuni ya Lino International Agency ambao ndio waandaaji.

Mkurugenzi huyo pia aliitaka Lino kuwaelimisha mawakala wanaoandaa mashindano hayo juu ya umuhimu wa kuwa na vibali kutoka Basata, ikiwa ni pamoja na kutowavumilia watovu wa nidhamu bila kujali ukongwe wao katika tasnia hiyo.

Kwa upande wake, Ofisa Sanaa Kitengo cha Matukio, Kurwijira Maregesi, aliitaka Lino kujipanga kujiweka tayari kufanya mashindano hata pale inapokosa mdhamini, huku mjumbe mwingine katika kikao hicho, ambaye ni Ofisa Sanaa Basata, Philemon Mwasanga, akisisitiza mawakala kuwekeana mikataba na warembo kabla ya mashindano kuanza.

“Lino isiwafumbie macho mawakala wasiojali mikataba na warembo, na warembo waisome na kuielewa ili kuepusha migogoro inayoweza kutokea,” alisema.

Akijibu hoja kadhaa zilizoibuliwa katika kikao hicho, Mkurugenzi wa Lino International Agency, Hashimu Lundenga, alisema kuwa, wamejipanga ili kuweza kufanya mashindano yao bila kutegemea wadhamini, huku akiitaka Basata kuwasaidia katika hilo.

“Tatizo mashindano yetu gharama yake ni kubwa sana, nasi hatupendi kuona ubora wake ukishuka kutokana na kushindwa kumudu gharama, ndio maana tumekuwa tukihangaika kuomba udhamini kutoka katika makampuni mbalimbali makubwa hapa nchini,” alisema.

Juu ya mikataba baina ya warembo na mawakala, Lundenga alisema: “Mwaka huu tumesisitiza mawakala waingie mikataba na washiriki kabla ya mashindano na tutakuwa makini katika kufuatilia hilo na changamoto nyinginezo zilizoibuliwa katika kikao hiki.”

Mmoja wa warembo walioshiriki mashindano ya mwaka jana ambaye ni Miss Sinza 2013, Prisca Clement, alisema kuwa, kuna umuhimu wa kuongezwa kwa zawadi katika ngazi za chini ili kumwezesha mshiriki kujivunia na kujitosa kwake katika mashindano hayo bila kujali kama ameshinda au la.

Mashindano ya Miss Tanzania 2014 yamezinduliwa mapema wiki hii, ambapo fainali zake zinatarajiwa kuwa kati ya Septemba na Novemba mwaka huu chini ya udhamini wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia kinywaji chake cha Redd’s Original.

BINTI KUTOKA KENYA ALIYE WAAMBUKIZA UKIMWI WANAUME KIBAO NCHINI KENYA SASA ANATOKA NA KIBABU CHA KIZUNGU, TAZAMA NA SOMA HAPA

- by Unknown · - 0 Comments




Mwanadada Vanessa Cheruto Chettle amabaye alithibitisha kuwa anaishi na HIV na ameshatembea na wanaume wengi bila kutumia kinga wakiwemo watu wenyemajina makubwa nchiniKenya...kama
Shaffie Weru na Nick Mutuma ambao ni watangaji maarufu nchini humo.





Kwamujibu wa chanzo cha habari hizi (chengwon.com) Vanessa na huyo babu wakizungu mwenye asili ya kiyaudi walikutana kwenye mtandao wakijamii baada ya babu kupitia akaunti yake kuandika anataka kusaidia msichana mwenye HIV.









TAZAMA UFUSKA HUU KWENYE PARTY ZA SIRI HUKU MITAANI KWETU. ...TUME MBAMBA DEMU AKICHEZA HUKU KAVUA NGUO ZOTE ZA CHINI....JIONEE HAPA

- by Unknown · - 0 Comments



 
Imekuwa kawaida pande fulani, kwenye party za siri watu kufanya mambo ya ajabu sana kama haya , kucheza uchi , ngono za nje nje na


ufuska mwengine mwingi tu. Hali inaonekana kuwa mbaya zaidi hizi sasa kwani party za namna hii zinazidi kuongezeka kila kukicha.

Thursday, March 27, 2014

MREMBO WA CHUO AFANYA MADUDU BAADA YA KUPIGWA KIBUTI NA MPENZI WAKE WAKIWA WANAKUNYWA BAR .JIONEE MWENYEWE HAPA AKIANZA KUVUA NGUO...!

Thursday, March 27, 2014 - by Unknown · - 0 Comments






MTOTO WA BABA ASKOFU HUKO DODOMA ATUPIA PICHA ZA UCHI MTANDAONI,...JIONEE MWENYEWE HAPA...

- by Unknown · - 0 Comments






Hapa akiwa na grace ya pombe kali.Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua mtoto wa Baba Askofu mmoja wa Kanisa" Jina linahidhawa" kupiga picha chafu na kuzirusha kwenye mtandai kwa lengo la kutafuta wanaume wenye pesa.
Habari za uhakika toka makao makuu yaa nchi yetu yani Dodoma "Agwe za uswelo" zilisema kuwa msichana huyo ambae amekuwa akitumia majina mengi ili kuwapoteza watu ili wasimjue kuwa yeye ni mtoto wa kiongozi huyo wa roho anaeheshimika sana mkoani humo na nchi nzima kwa ujumla.
Hata hivyo chanzo chetu kAilisema kuwa jina lake halisi ni Ruthu lakini amekuwa na majina zaidi ya matano mara hujiita, Zaituni, au Jasmiin, Happynes, Yusra na Jackline yote hayo ni njia ya kuwapoteza maboya watu wanaomfahamu vyema.
Mtoto huyo amekuwa kamaha aliyekubuhu vibaya mno na na sababu kubwa inadaiwa kuwa ni kulelewa kimaadili na kubanwa sana lakini mara baada ya kupata upenyo na kuonja raha za dunia hali imekuwa mbaya unaambiwa amefungulia koki mwanaume yeyote yeye twende na mbaya zaidi nakunya kileo hivyo pombe ikimpanda
kidogo tu hulazimisha wanaume mwenyewe wakamshughurikia.
Hata hivyo habari zaidi zilisema kuwa janja kubwa anayotumia msichna huyo ni pamoja na kujifanya mwanafuzni wa chuo cha St John Dodoma hali huku akimwaga ngeri kama hana akili nzuri halio inayompa heshima kuwa msomi kisha wanaume wenye madini ya kutosha hujiingiza mkenge.

<<CLICK HAPA KUONA PICHA>>

DUUU!! KWA WALE MANOPENDA WENYE FULL MAKALIO A.K.A KERIA HAPA NDIPO MWIISHO WA RELI AISEE NI SHEEDAAAA , JIONEE HAPA

- by Unknown · - 0 Comments













HUYU NDIYE MREMBO WETU SIKU YA LEO, JE KAUMBIKA AU?? JIONEE HAPA THEN FUNGUKA

- by Unknown · - 0 Comments


CATY LUTHER Akionyesha umbo lake na jinsi alivyobarikiwa..!!

Wednesday, March 26, 2014

KWANINI WANAWAKE WANAPENDA KUCHORA TATOO NYUMA YA KIUNO ?

Wednesday, March 26, 2014 - by Unknown · - 0 Comments





Tujuzane Jamani kama unajua ina Maana Gani......

KWA WENYE MIAKA 18 NA ZAIDI NDO MNARUHUSIWA KUTAZAMA PICHA HIZI ZA UTATA ZA MWANADADA HUDDAH KUTOKA KENYA

- by Unknown · - 0 Comments


,


SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKOTOA MAONI YAKO HAPA CHINI

SIJUTI KUZALIWA MWANAMKE, NAHONGWA SI HONGI, SI PIGI NAPIGIWA-MBONA RAHAA.

- by Unknown · - 0 Comments




 

Hata Sikumbuki mara ya mwisho lini kununua Vocha...Nikiguna tu vidume vinanitumia vocha wala siombi .....Nahongwa mie Babu eeehh Mimi Sihongii....Sijutii Kuzaliwa Mwanamke..Raha tupu

UKIONA MANYOYA JUA KASHALIWA, SKENDO NZITO HII, MSANII FALLY IPUPA ANASWA NA CAMERA ZETU AKIWA GEST NA MWANADADA MBONI ANAYEENDESHA TV SHOW YA MBONI TZ WAKIFANYA YAO, SINA UHAKIKA NA USALAMA HAPA....JIONEE HAPA

- by Unknown · - 0 Comments










LOL!! KWELI ILE KAULI YA MAHABA NIKAUSHE DAMU YAMWANGUKIA DIAMOND, WEMA AMVARISHA WIGI, TAZAMA PICHAZ HAPA......SHIDA YA MUJINIIII

- by Unknown · - 0 Comments


Mahaba

nipige makonde...Mahaba nikaushe damu...Diamond akiwa amevaa Wigi la Wema....Mapenzi matamu sana.

Tuesday, March 25, 2014

SHILOLE SASA ANATAKA KUWA UA WATOTO:AIBUKA NA ‘SERENGETI BOY’ MPYA HABARI KAMILI NA PICHAZ CHECK HAPA

Tuesday, March 25, 2014 - by Unknown · - 0 Comments




 

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
KWA mara nyingine, staa anayekimbiza kwenye filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ au ‘Shishi’ ameibuka katika penzi jipya na bwana mdogo anayechipukia katika muziki wa Bongo Fleva, Nouh Mziwanda, Risasi Mchanganyiko limeinasa.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Shilole kwa sasa hasikii wala haoni kwa Nouh pamoja na kwamba wawili hao wanaonekana kuwa na tofauti kubwa ya kiumri , Shilole akionekana kuwa mkubwa zaidi ya Nouh.

“Shilole ni kama anambemenda Nouh lakini ndiyo hivyo, haoni wala hasikii, kila siku wako pamoja kama kumbikumbi,” kilisema chanzo chetu.…
Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
KWA mara nyingine, staa anayekimbiza kwenye filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ au ‘Shishi’ ameibuka katika penzi jipya na bwana mdogo anayechipukia katika muziki wa Bongo Fleva, Nouh Mziwanda, Risasi Mchanganyiko limeinasa.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Shilole kwa sasa hasikii






wala haoni kwa Nouh pamoja na kwamba wawili hao wanaonekana kuwa na tofauti kubwa ya kiumri , Shilole akionekana kuwa mkubwa zaidi ya Nouh.
“Shilole ni kama anambemenda Nouh lakini ndiyo hivyo, haoni wala hasikii, kila siku wako pamoja kama kumbikumbi,” kilisema chanzo chetu.

Staa wa filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ au ‘Shishi’.Waandishi wetu waliwafuatilia wawili hao kwa nyakati tofauti na kufanikiwa kuzinasa picha zao walizozipiga katika mikao ya kimahaba.
Baada ya kuzinasa picha hizo, mapaparazi wetu walimtafuta Nouh na kumweka mtu kati kuhusu uhusiano wake na Shilole.
“Ni kweli ninatoka na Shilole ni mpenzi wangu na sidhani kama nitakuja kuachana naye maana tunapendana sana na nimevutiwa na mavituz yake,” alisema Nouh.
Kuhusu tofauti ya umri wake na ule wa Shilole, Nouh alisema umri huwa haumati katika mapenzi.
“Mapenzi ni mapenzi na umri utabaki kuwa namba tu, ni vyema mtu ukaongozwa na hisia zako kuliko kuhofia umri wa mtu ndiyo maana miye ninakula vinono,” alisisitiza.
Pia, Nouh alisema hakutarajia kukubaliwa na Shilole baada ya kumtokea walipokutana katika studio moja jijni Dar na sasa wamekolea kwenye penzi motomoto.
“Nampenda Shishi, nafanya kila njia nimshawishi awe mke wangu wa ndoa,” aliongeza.
Hata hivyo, Shilole alipozungumza na waandishi wetu alipatwa na kigugumizi kukubali uhusiano wake wa kimapenzi na kinda huyo wa Bongo Fleva.
Shilole alisema Nouh ni rafiki yake kama walivyo marafiki zake wengine.
Waandishi wetu walipomuonesha picha zao walizokuwa wamekaa katika mikao ya kihasarahasara, Shilole aliangua kicheko na kisha akasema:
“Mh! Sina la kuwajibu kama picha zinasema mimi na Nouh ni wapenzi haya.”
Hii siyo mara ya kwanza kwa Shilole kuripotiwa kutoka na Serengeti Boy, siku za nyuma alishawahi kuripotiwa na gazeti dada na hili la Ijumaa Wikienda akisema anapenda kutoka na ‘Serengeti Boys’.

INASIKITISHA..MREMBO AUNGUZWA SEHEMU ZA SIRI NA MOTO WA AJABU...SOMA NA TAZAMA ZAIDI HAPA....!

- by Unknown · - 0 Comments


Doto Omari kushoto aliyeunguzwa na moto wa ajabu sehemu za siri.
KATIKA tukio linalohusishwa na ushirikina, mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Doto Omari (30, pichani) ameunguzwa na moto wa ajabu sehemu zake za siri.
 
Moja ya jeraha alilolipata.
 Tukio hilo la aina yake lilitokea alfajiri ya Machi 16 mwaka huu,   Mwananyamala – Kichangani, Dar,  wakati mwanamke huyo alipokwenda chooni kujisaidia. 

Akizungumza na waandishi wetu, Doto alisema alipoanza kujisaidia, alishangaa kuona moto mkubwa ukitokea ndani ya shimo la choo na kumuunguza sehemu zake za siri, jambo lililomfanya apige kelele kuomba msaada. 



“Yaani ule moto ulikuwa mkubwa halafu wa kijani huku ukiwa na muungurumo wa ajabu. Mimi nilishangaa kuuona ukinifuata na kuniunguza,” alisema. 

Kaka wa mwanamke huyo aliyejitambulisha kwa jina la Adam, alisema aliposikia kelele za moto, alikimbilia maji akijua ni wa kawaida. 

“Mpaka sasa tumechanganyikiwa sana, hilo siyo tukio la kwanza, yako mengi, nilishawahi kumuona mtu wa ajabu  kainama kwenye mlango wa kuingilia chooni halafu kufumba na kufumbua akapotea, hii nyumba siyo kabisa.
 “Wengi ukiwaambia jambo hili huona kama hadithi, lakini matukio ya aina hii hapa Kichangani ni jambo la kawaida sema watu wanaogopa kusema,” alisema Adam. 

Naye wifi yake Doto aliyeomba hifadhi ya jina lake, alisema aliona moshi mweusi ukitokea chooni huku kukiwa na harufu ya kama kitu kinachoungua, ingawa hakuuona moto zaidi ya kumuona wifiye akigaragara chini akidai kuungua.
Hadi waandishi wetu wanaondoka eneo la tukio, ndugu hao walikuwa wakijiandaa kumpeleka Doto kwa mganga wa kienyeji maeneo ya Lugoba, Chalinze kwa matibabu.

WABONGO NOMA SANA, WANAUME KADHAA WANASWA KWENYE VIGODORO WAKI CHEZA MUZIKI NA WANAWAKE WA KIZUNGU KWA STYLE ZA XX*XX JIONEE HAPA

- by Unknown · - 0 Comments
















HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI