Friday, May 3, 2013
Shilole "Bila Condom Huwezi Faidi Penzi Langu"
Friday, May 3, 2013 by Unknown
Lady Jay Dee ameingia kwenye vita kali na Clouds Fm huku akimshambulia Joseph Kusaga na Ruge Muta Mwigizaji na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Zena Mohamed, maarufu kwa jina la shilole amedai kuwa anaweza kufanya ujinga wowote humu duniani lakini linapokuja suala la mapenzi kamwe hawezi kwenda pekupeku ( bila condom ) ....
Akiongea kwa kujiamini ,Shilole alisema kuwa hata mtu awe vipi, au awe wa dini gani au awe na pesa kiasi gani kamwe hawezi kumvulia nguo kama hana kondom mkononi.....
Msanii huyo alienda mbali zaidi na kuzilaani kauli za baadhi ya watu zinazosema eti ukitumia "CONDOM" ladha ya mapenzi inapungua.Yeye anadai kuwa ni mdau wa "GEMU" hilo na huwa anatumia NDOM kama kawa na hufurahia kama kawaida...
" Hata niwe nimelewa kiasi gani huwa nipo makini sana maana najua vijana wengi wa mjini wananimezea mate....Waje tu , lakini bila KINGA wataambulia PATUPU!!” Alisisitiza Shilole
Bongomovie haba kwa madai kuwa ndio wanaokula jasho la wasanii.
TOA MAONI YAKO HAPA
Tags:
udaku

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
- DUNIA INA MAMBO...ETI AUNT EZEKIEL ACHIZIKA KUPITA MAELEZO..KISA..BUSU LA MBWA...!!
- KUNUKA KIKWAPA NA WEUSI KATIKATI YA MAPAJA YANGU VINANINYIMA RAHA
- FICHUA MAOVU TUNAENDELEZA::FACEBOOK YAINGILIWA NA MAKAHABA:CHEKI PICHA HAPA, JE NI SAWA KWA MADADA ZETU WANACHOKIFANYA FACEBOOK
- KAULI ZA MJINI WANASEMA MICHEPUKO SIO DEAL, KWANINI UIBE MKE WA MTU?? TULIA NA WAKO, CHECK HUYU ALIVO UMBUKA NA KUAIBIKA BAADA YA FUMANIZ....
- KUTANA NA MREMBO MWANACHUO MWENYE KALIO LA AJA AMBAYE, WATU WANAHISI ANALITUMIA KUFAHURU MITIHANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Shilole "Bila Condom Huwezi Faidi Penzi Langu" ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.