Saturday, March 29, 2014

BINTI KUTOKA KENYA ALIYE WAAMBUKIZA UKIMWI WANAUME KIBAO NCHINI KENYA SASA ANATOKA NA KIBABU CHA KIZUNGU, TAZAMA NA SOMA HAPA




Mwanadada Vanessa Cheruto Chettle amabaye alithibitisha kuwa anaishi na HIV na ameshatembea na wanaume wengi bila kutumia kinga wakiwemo watu wenyemajina makubwa nchiniKenya...kama
Shaffie Weru na Nick Mutuma ambao ni watangaji maarufu nchini humo.





Kwamujibu wa chanzo cha habari hizi (chengwon.com) Vanessa na huyo babu wakizungu mwenye asili ya kiyaudi walikutana kwenye mtandao wakijamii baada ya babu kupitia akaunti yake kuandika anataka kusaidia msichana mwenye HIV.









Tags:

0 Responses to “BINTI KUTOKA KENYA ALIYE WAAMBUKIZA UKIMWI WANAUME KIBAO NCHINI KENYA SASA ANATOKA NA KIBABU CHA KIZUNGU, TAZAMA NA SOMA HAPA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI