Home
» celebrities
» LULU ASHAMBULIWA INSTAGRAM KWA KUCOPY NA KUPASTE KUTOKA KWA RIHANA, JIONEE MWENYEWE HAPA
Saturday, March 29, 2014
LULU ASHAMBULIWA INSTAGRAM KWA KUCOPY NA KUPASTE KUTOKA KWA RIHANA, JIONEE MWENYEWE HAPA
Saturday, March 29, 2014 by Unknown

Masaa machache tu baada ya lulu kupost mwonekano wa mbele wa jarida la VIBE utavyoonekana, Watu wengi wameanza kumshambulia kwa kuiga pozi la Rihana alilotumia katika Jarida GQ mwaka jana. WEngi wamelalamika na kusema kua amejishusha sana na uchafua sifa ya gazei hilo kwa kucopy na kupaste.

Baada ya taarifa hizo kumfikia lulu alikua na haya ya kusema. "Doh naona imekuwa TOPIC ila sishangai Nina hiyo damu ya kufanya kitu na kikawa gumzoooo...!nadhani kitu kimoja watu hamuelewi Ku Copy na Ku Paste
huko mnakosema nyinyi cdhani Kama mnakuelewa...!hapa kilichofanana ni idea only not otherwise...!n ofcoz dunia tunayoishi hakuna kitu kipya ni vitu vile vile ila vinafanyika kwa namna ya tofauti....majadiliano hayakuwa mabaya coz ndo inamaanisha habari imefika vilivyo....nimejaribu kuiweka clear mana watu mpk vidole vinakaribia kupata sugu kwa kuandika comment hehehe...!tuachane na hayo ila dada @badgalriri dah nimekukimbiza kwa mbali heheheh.... @badgalriri @badgalriri @badgalriri @badgalriri @badgalriri @badgalriri ��������nione basi������....haya namalizia Kama bdo hutaki kukubaliana na maelezo yangu njia hii apa������������������������������������������������������������������Haina mafuriko,madimbwi wala foleni....kweupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!��Nawapenda lkn��"
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Tags:
celebrities

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “LULU ASHAMBULIWA INSTAGRAM KWA KUCOPY NA KUPASTE KUTOKA KWA RIHANA, JIONEE MWENYEWE HAPA”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.