Sunday, March 30, 2014

ANGALIA PICHA YA DIAMOND THE PLATNUMZ AKIWA KWENYE NDEGE ON HIS WAY NIGERIA LAGOS,,TAZAM HAPA



 
Kushoto na presidaa the diamond platnumz they use to call him sukari ya warembo, akiwa na babutale wakiwa kwenye ndege wakielekea nchini nigeria lagos






kwa ajili ya msanii diamond kwenda kufanya ngoma yake mpya, guys tukae mkao wa kula for the coming new music and video of diamond the platnumz, na pia tuwatakie safari njema na warudi salama amin

Tags:

0 Responses to “ANGALIA PICHA YA DIAMOND THE PLATNUMZ AKIWA KWENYE NDEGE ON HIS WAY NIGERIA LAGOS,,TAZAM HAPA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI