Sunday, March 30, 2014
CHAMELEONE ANYANG'ANYWA GARI AINA YA ESCALADE KWA KUSHINDWA KULIPA KODI
Sunday, March 30, 2014 by Unknown
Muda mchache kabla ya kuanza kwa onyesho kubwa la Tubonge la msanii huyo, maofisa wa URA waliikamata gari yake hiyo ya kifahari.
Kwa mujibu wa mtandao wa Redpapper wa nchini Uganda,msanii huyo alijaribu kuwakatalia wasikuchukue gari lake akidai atakufa na mtu atakayeichukua lakini kauli hiyo haikufua dafu kwa mamlaka hiyo. “Hii ni gari yangu binafsi na nina haki yake, mtu yeyote akigusa Escalade yangu, nami tufe pamoja naye,” alidai Chameleone.
Hata hivyo Chameleone alidai kuwa hana tatizo lolote kulipa kodi lakini mamlaka hiyo haikutolea vigezo walivyotumia kupata jumla ya shilingi milioni 7 za Uganda ambazo ndizo pesa wanazomdai Tags: celebrities

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
- UTATA MTUPU...LADY JAY DEE ASEMAMAZITO HAYA: MIMI NA GARDNER TUNAISHI KAMA KAKA NA DADA...!SOMA ZAIDI HAPA...
- WOLPER GAMBE NA PENNY WAPIGA PICHAZ ZA MSHTUKO NA UTATA, KANA KWAMBA NI WATU WALIO JI KWICHI KWICHI WAO KWA WAO,,,YAANI NI KIMAHABA ZAID...JIONEE HAPA
- TAZAMA PICHA 11 KUTOKA NYUMBANI KWA MAREHEMU MZEE GURUMO DAR USIKU HUU.
- OOOH NOO....POMBE SI CHAI...MASKINI MR NICE ACHEZEA KICHAPO CHA AIBUU BAADA YA KUMSARANDIA DEMU WA WATU...! HABARI KAMILI SOMA NA TAZAMA PCHAZ HAPA
- HATIMAE LUPITA AONYESHA CHUP ALIYOVAA WAKATI AKIPOKEA TUZO YA OSCARS, TAZAMA PICHA HAPA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “CHAMELEONE ANYANG'ANYWA GARI AINA YA ESCALADE KWA KUSHINDWA KULIPA KODI”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.