Saturday, March 29, 2014

STEVE NYERERE ADAIWA KUWA MNAFIKI KUWAPATANISHA UWOYA NA WOPLER HUKU AKIWA NA BEEF NA BATULI, BATULI AFUNGUKA LIVE.





Batuli
Steve Nyerere ambaye ni muigizaji wa filamu Swahiliwood na pia mwenyekiti wa kundi la Bongo Movie anadaiwa kuwa mnafiki kuwapatanisha Jackline Wolper na Irene Uwoya ambao walikuwa kwenye beef la muda mrefu huku yeye mwenyewe akidaiwa kuwa kinara wa kuanzisha mabifu yasiyokuwa na kichwa wala miguu na wasanii wenzake akiwemo Yobnesh Yusuph "Batuli". Chanzo kimoja kikizungumza na Swahiliworldplanet kilisema kuwa " Steve Nyerere ni mnafiki kupitia uongozi wa kundi lao la Bongomovie, anajidai kuwapatanisha Wolper na Uwoya huku akiwa kwenye bifu la kijinga na Batuli, ni mtu wa mabifu yasio na maana na wasanii wenzake, tunaomjua tunamdharau tu" kilisema chanzo hicho ambacho kipo ndani ya tasnia ya filamu nchini na pia ndani ya kundi la Bongo Movie.


Baada ya kurushiwa habari hizo ilibidi kumtafuta Batuli ambaye anatamba katika filamu, Batuli alikubali kuwa hayuko kweney maelewano mazuri na Steve huku akidai Steve ndiye chanzo cha bifu aliloliita la kijinga.
"Ni kweli mimi na Steve Nyerere hatuna maelewano mazuri kwa sasa kiisa ni cha kijinga sana, Steve alinipigia simu akinipa taarifa ya kuwa kanipanga kwenye movie yake ambayo kawashirikisha Bongo movie wengi sana, ambapo alidai ya kuwa hata malipo atayafanya baada ya kuuza movie hiyo nikakubali kwa sababu kwanza ni msanii mwenzangu, pili movie ndio kazi yangu, basi baada ya siku kadhaa Steve akanipigia simu akaniambia niende nika-shoot nakumbuka ilikuwa mchana nikashangaa sana kwa sababu kabla mtu haja-shoot huwa kuna maandalizi ambayo mhusika anatakiwa kuyafanya ambayo ni kwanza aijue story ya movie anayoenda kuicheza, baada ya kuijua story anaenda kuandaa nguo, viatu na vinginevyo vinavyotakiwa kutokana na story au script inavyosema"

Star huyo anayesika kwa urembo aliendelea kwa kusema " Nikamuuliza Steve mbona bofya<<<<hapa>>>>> kumalizia kusoma story hii.SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKOTOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Tags:

0 Responses to “STEVE NYERERE ADAIWA KUWA MNAFIKI KUWAPATANISHA UWOYA NA WOPLER HUKU AKIWA NA BEEF NA BATULI, BATULI AFUNGUKA LIVE.”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI