Home
» celebrities
» UTATA MTUPU...LADY JAY DEE ASEMAMAZITO HAYA: MIMI NA GARDNER TUNAISHI KAMA KAKA NA DADA...!SOMA ZAIDI HAPA...
Sunday, March 30, 2014
UTATA MTUPU...LADY JAY DEE ASEMAMAZITO HAYA: MIMI NA GARDNER TUNAISHI KAMA KAKA NA DADA...!SOMA ZAIDI HAPA...
Sunday, March 30, 2014 by Unknown
Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au Jide katika pozi na mume wake Gardner Habash ‘Kapteini’ .Kumbe! Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au Jide amefunguka kuwa yeye na mumewe, Gardner Habash ‘Kapteini’ kwa sasa wanaishi kama kaka na dada hivyo kuibua swali kivipi?

kuwa yeye na Gardner wamefikia hatua ya kuishi katika staili hiyo kutokana na mapenzi yao yaliyopitiliza.
“Gardner ananipenda sana na mimi pia vilevile nampenda sana mume wangu. Mapenzi yetu yamepitiliza hadi tunajiona kama vile tumezaliwa tumbo moja na ndiyo maana nawaambia kuwa mimi na yeye tunaishi kama kaka na dada,” alifunguka Jide.

ajili ya mawasiliano.
“Mimi hapa sina simu, anayo mume wangu lakini wakati mwingine nakuwa nayo mimi ila muda mwingi anakuwa nayo Gardner,” alimalizia Jide.
Kwa makala zaidi kuhusu usichokijua juu ya maisha ya Jide, nenda kurasa za nane na tisa za gazeti hili.

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
- HATIMAE LUPITA AONYESHA CHUP ALIYOVAA WAKATI AKIPOKEA TUZO YA OSCARS, TAZAMA PICHA HAPA
- UTATA MTUPU...LADY JAY DEE ASEMAMAZITO HAYA: MIMI NA GARDNER TUNAISHI KAMA KAKA NA DADA...!SOMA ZAIDI HAPA...
- WOLPER GAMBE NA PENNY WAPIGA PICHAZ ZA MSHTUKO NA UTATA, KANA KWAMBA NI WATU WALIO JI KWICHI KWICHI WAO KWA WAO,,,YAANI NI KIMAHABA ZAID...JIONEE HAPA
- TAZAMA PICHA 11 KUTOKA NYUMBANI KWA MAREHEMU MZEE GURUMO DAR USIKU HUU.
- OOOH NOO....POMBE SI CHAI...MASKINI MR NICE ACHEZEA KICHAPO CHA AIBUU BAADA YA KUMSARANDIA DEMU WA WATU...! HABARI KAMILI SOMA NA TAZAMA PCHAZ HAPA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “UTATA MTUPU...LADY JAY DEE ASEMAMAZITO HAYA: MIMI NA GARDNER TUNAISHI KAMA KAKA NA DADA...!SOMA ZAIDI HAPA...”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.