Sunday, March 30, 2014

TAZAMA VIDEO ILIYOIMBWA YA WIMBO ULIYOIMBWA NA WASANII ZAIDI YA 19 WA AFRIKA, AKIWEMO DIAMOND. D-BANJ, FALLY IPUPA....!!





Zaidi ya wasanii watano kati ya wale 19 waliojumuika kutengeneza wimbo na video ya wimbo "Cocoa na Chocolate" kwa ajili ya kuhamasisha kilimo kwa vijana na kuwa kiimo kinalipa, wamekutana Lagos nchini Nigeria kwa ajili ya uzinduzi wa video hiyo,


huku watagazaji mbali mbali kutoka mchi mbalimbali nao wakihudhuria uzinduzi huo akiwemo Fetty, Fettylicious Fe;eh.

Zaidi ya wasanii 19 kutoka katika nchi mbali mbali Africa wakiwemo Diamond (Tanzania) D'Bhanji na Femi Kuti (Nigeria), Fally Ipupa (DRC) na wengineo walikutana nchni south Africa na kutengenea wimbo wa pamoja unaohamasisha vijana kujihusisha na maswala ya kilimo na kuwaambia vijana wa kiafrica kuwa maisha yao ya baadae yako chini ya miguu yao wenyewe na katika mikono yao wenyewe.
Video hiyo imeshakamilika na alhamis ya wiki hii itaonyeshwa katika TV station Mbali


Tizama trailer ya video hiyo iliyotoka leo hii

Tags:

0 Responses to “TAZAMA VIDEO ILIYOIMBWA YA WIMBO ULIYOIMBWA NA WASANII ZAIDI YA 19 WA AFRIKA, AKIWEMO DIAMOND. D-BANJ, FALLY IPUPA....!!”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI