Saturday, March 29, 2014

kweli chamellione anapendwa sana:: Mashabiki wavumilia mvua kubwa iliyonyesha kuangalia show yake...pichaz zote za tukio check hapa




Mashabiki wa Jose Chameleone wamethibitisha kuwa mvua haiwezi kuwakwamisha kushuhudia na kufurahia show yake ya Tubonge Live iliyofanyika Ijumaa jijini Kampala.

Pamoja na mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha wakati show ikiendelea, mashabiki hao wa Uganda hawakukimbia kwenda kutafuta sehemu ya kujikinga na mvua bali walikubali kuloana na mvua hiyo ili tu waushuhudie moto wake.



“As God blessed us with a rain shower we kept moving!!!! I am so happy and want to thank all my friends who endured the rain for me the TUBONGE PRIDE is yours may God bless you all. I love you all. We made HISTORY,” ameandia nyota huyo kwenye ukurasa wa Facebook.


Tags:

0 Responses to “kweli chamellione anapendwa sana:: Mashabiki wavumilia mvua kubwa iliyonyesha kuangalia show yake...pichaz zote za tukio check hapa”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI