Saturday, March 29, 2014

WANAUME KIBAO WAMGOMBELEZEA NA KUMTAMAN SANA SHILOLE SIKU YA BIRYHDAY YA BONGO MOVIE KWA JINSI ALIVO PENDEZA,UMBIKA NA SWAGGS ZAKE..TAZAMA PICHA HAPA JAPO ULE KWA MACHO



Shilole katika picha ya pozi kwenye zulia jekundu 


 
‘red carpet’.
Shamsa Ford akihojiwa kwenye zulia jekundu.

Steve Nyerere akikata keki.
Jana ilikuwa ni siku ya furaha kwa wasanii wa Kundi la Bongo Movie Unity waliokuwa wakisherehekea kundi hilo kutimiza miaka mitatu tangu lilipoanzishwa.
Sherehe za kumbukumbu hiyo zilifanyika kwenye Ukumbi wa Arcade, Mikocheni jijini Dar ambapo wasanii walianza kwa 



kupiga picha kwenye zulia jekundu ‘red carpet’ na watu kibao waliohudhuria.
Kwa upande wa burudani ya muziki, wanamuziki Linex, Amini, Pendo wa Maisha Plus, Shilole, Bendi ya Fm Academia na Bendi ya BM walitoa burudani ya aina yake na kusababisha ukumbi wote kulipuka kwa shangwe.

Tags:

0 Responses to “WANAUME KIBAO WAMGOMBELEZEA NA KUMTAMAN SANA SHILOLE SIKU YA BIRYHDAY YA BONGO MOVIE KWA JINSI ALIVO PENDEZA,UMBIKA NA SWAGGS ZAKE..TAZAMA PICHA HAPA JAPO ULE KWA MACHO”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI