Friday, March 28, 2014

RIHANA ATEMBEZA KICHAPO KWA JAMAA ALIYEMSHIKA MAKALIO BILA HIARI YAKE,CHEKI PICHA HAPA




 

                                      Hii ni Fundisho kwa Wanaume woote






wanaopenda kuwasumbua wanawake waliona mvuto na Majumbile ya kuvutia, Mtoto wa Ki Barbdadian Mrembo Rihana ameweza kuwawakilisha wanawake wasiopenda udhalilishaji wa namna hii kwa Kumtandika Makofi Mwanaume aliyejitokeza kumshika Makalio Kwa nyuma.

Tags:

0 Responses to “RIHANA ATEMBEZA KICHAPO KWA JAMAA ALIYEMSHIKA MAKALIO BILA HIARI YAKE,CHEKI PICHA HAPA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI