Thursday, March 21, 2013

ERRY SILAA AZINDUA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA CHA TTCL – KARIAKOO




Mtoa huduma kwa wateja Bi. Florence Ngowi akionyesha na kumueleze Mh. Jerry Silaa Meya wa Manispaa ya Ilala baadhi ya bidhaa zinazopatikana katika kituo hicho wakati alipotembelea maonyesho ya vifaa mbalimbali alipozindua kituo hicho ambacho kimeanzishwa maalum kwa ajili ya kushughulia masuala ya huduma kwa wateja wa Kampuni hiyoMheshimiwa Jerry Silaa akisoma risala wakati wa uzinduzi wa kituo hichoBaadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya simu ya TTCL wakiwa katika uzinduzi huoAfisa Mkuu wa Mauzo na Masoko Bw. Peter Ngota akizungumza na
wageni mbalimbali, katikati ni Meya wa Manispaa ya Ilala Mhe. Jerry
Silaa Kulia ni Mkurugenzi wa huduma kwa Wateja Bw. Edward Emmanuel.

Tags:

0 Responses to “ERRY SILAA AZINDUA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA CHA TTCL – KARIAKOO ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI