Wednesday, March 13, 2013
Karinali Jorge Mario Bergoglio toka Argentina ateuliwa kuwa Papa mpya
Wednesday, March 13, 2013 by Unknown
Na kelele hizo ziliongezeka maradufu zikiambatana na vigelegele vya shangwe na nderemo, pale Karinali Jorge Mario Bergoglio, raia wa Argentina mwenye umri wa miaka 76, alipojitokeza katika lango kuu la nyumba walikokuwa wamejifungia, huku akipunga mikono ya furaha yenye kuashiria mwanga mpya kwa waumini wa kanisa katoli kote duniani.
Kuna mambo mawili ambayo yameleta msisimko mkubwa katika uteuzi huu. La kwanza likiwa ni lile la Waitaliano ambao walikuwa na matumaini makubwa ya kurejea katika kushikilia wadhifa huo kuukosa tena kwa mara ya tatu, na la pili likiwa ni ukweli kuwa, hii ni kwa mara ya kwanza kwa Papa kutoka katika nchi zinazoitwa za ulimwengu wa tatu.
Karinali Jorge Mario Bergoglio, amechagua kuwa aitwe Papa Francis wa kwanza.

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Karinali Jorge Mario Bergoglio toka Argentina ateuliwa kuwa Papa mpya ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.