Thursday, March 21, 2013

Kutoka Wizara Ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira :Makamu Wa Rais Dr Gharib Bilal Afungua Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Kuhimili Mabadiliko ya Tabia Nchi Kwa Njia za Asili




Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Muhammed Ghari Bilal na Waziri wa Nchi Ofisi yaMakamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa wakionyesha kitabu cha Mkakati wa Kitaifa wa Mabadiliko ya tabianchi mara Baada ya Kukizindua Makamu wa Rais Kwenye Hotel ya New Afrika Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Muhammed Ghatib Bilal akifungua Mkutano wa Kimataifa kuhusu kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa Njia za asili kulia Mkurugenzi Msaidizi Mazingira Bw Richard Muyungi na Waziri Ofisi ya Makamu wa Kwenza Sirikali ya Zanzibar Bw Fatma Fereji
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Muhammed Gharib Bilal akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa wakati wa Mkutano Ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa kuhusu kuhimili Mabadiliko ya Tabiachi kwa Njia za asilo.Picha na Ali Meja

Tags:

0 Responses to “Kutoka Wizara Ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira :Makamu Wa Rais Dr Gharib Bilal Afungua Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Kuhimili Mabadiliko ya Tabia Nchi Kwa Njia za Asili ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI