Tuesday, March 12, 2013

Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar na Naibu Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad na Naibu Katibu Mkuu wa CUF Tanzania Bara Julius Mtatiro Waunguruma Jimbo la Temeke



Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Zakiem, Jimbo la Temeke

Naibu Katibu Mkuu wa CUF Tanzania Bara Julius Mtatiro akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Zakiem, Jimbo la Temeke.

Wafuasi na wapenzi wa CUF wakiwa makini kuwasikiliza viongozi wa chama hicho wakiongozwa na Katibu Mkuu Maalim Seif Sharif Hamad katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Zakiem, jimbo la Temeke Dar es Salaam.

Wafuasi na wapenzi wa CUF wakijitokeza kwa wingi kuwasikiliza viongozi wa chama hicho wakiongozwa na Katibu Mkuu Maalim Seif Sharif Hamad katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Zakiem, jimbo la Temeke Dar es Salaam

Wafuasi na wapenzi wa CUF wakijitokeza kwa wingi kuwasikiliza viongozi wa chama hicho wakiongozwa na Katibu Mkuu Maalim Seif Sharif Hamad katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Zakiem, jimbo la Temeke Dar es Salaam.Picha na Salmin Said-Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar

Tags:

0 Responses to “Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar na Naibu Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad na Naibu Katibu Mkuu wa CUF Tanzania Bara Julius Mtatiro Waunguruma Jimbo la Temeke”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI