Home
» michezo
» MWENYEKITI WA SIMBA ISMAIL ADEN RAGE AWASILI KWA KISHINDO JIJINI DAR ES SALAAM AKITOKEA NCHINI INDIA,AZUNGUMZA NA WANACHAMA MAKAO MAKUU YA KLABU YA SIMBA
Sunday, March 24, 2013
MWENYEKITI WA SIMBA ISMAIL ADEN RAGE AWASILI KWA KISHINDO JIJINI DAR ES SALAAM AKITOKEA NCHINI INDIA,AZUNGUMZA NA WANACHAMA MAKAO MAKUU YA KLABU YA SIMBA
Sunday, March 24, 2013 by Unknown
Mashabiki na wachama wa Simba wakilisukuma gari alilopanda Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage wakati alipowasili Makao Makuu ya klabu hiyo jana akitokea India kwa matibabu..
Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, akizungumza na wanachama na mashabiki timu hiyo, ambao walifika Makao Makuu ya klabu hiyo, Msimbazi jijini Dar es Salaam, mara baada ya Rage kuwasili jana akitokea nchini India kwa matibabu.Picha na Francis Dande

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MWENYEKITI WA SIMBA ISMAIL ADEN RAGE AWASILI KWA KISHINDO JIJINI DAR ES SALAAM AKITOKEA NCHINI INDIA,AZUNGUMZA NA WANACHAMA MAKAO MAKUU YA KLABU YA SIMBA”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.