Thursday, March 21, 2013
Taswira Za Mkuu wa usalama wa chama cha demokrasia na maendeleo, Wilfred Lwakatare
Thursday, March 21, 2013 by Unknown
Askari wa mbwa wakiimarisha ulinzi wakati wa kesi hiyo.
Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare akionesha ishara ya vidole ambayo ni salamu kwa wafuasi wa chama chake wakati akiingia katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana
Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chadema, Wilfred Lwakatare akiwa na mtuhumiwa mwenzake, Ludovick Joseph wakiingia mahakamani jana

Polisi wakisindikiza msafara wa gari lililompakia Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chadema, Wilfred Lwakatare kuelekea mahabusu hadi April 3 mwaka huu.
Wafuasi wa Chadema wakiwa wamekusanyika nje ya mahakama hiyo jana
Mwenyekiti wa Chadema an Mbunge wa Hai , Freeman Mbowe akiteta jambo na mke wa Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chama hicho, Wilfred Lwakatare jana.Picha Zote na mdau Francis Dande
Tags:
kitaifa ,
siasa

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Taswira Za Mkuu wa usalama wa chama cha demokrasia na maendeleo, Wilfred Lwakatare”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.