Home
» kitaifa
» VIONGOZI WA SEKTA YA ULINZI NCHINI WATUA OFISINI KWA WAZIRI NCHIMBI, JIJINI DAR ES SALAAM.
Thursday, March 14, 2013
VIONGOZI WA SEKTA YA ULINZI NCHINI WATUA OFISINI KWA WAZIRI NCHIMBI, JIJINI DAR ES SALAAM.
Thursday, March 14, 2013 by Unknown
Mwenyekiti wa Chama cha Sekta ya Ulinzi nchini (TSIA), Athuman Maige (kulia) akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya chama chake na wizara hiyo.
Mwenyekiti wa Chama cha Sekta ya Ulinzi nchini (TSIA), Athuman Maige (katikati) akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya chama chake na wizara hiyo. Kulia ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Isaya Maiseli.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akimfafanulia jambo Mwenyekiti wa Chama cha Sekta ya Ulinzi nchini (TSIA), Athuman Maige (katikati) pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho, Isaya Maiseli. Viongozi hao walikutana na waziri huyo ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana na kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya chama hicho na wizara.
PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “VIONGOZI WA SEKTA YA ULINZI NCHINI WATUA OFISINI KWA WAZIRI NCHIMBI, JIJINI DAR ES SALAAM. ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.