Sunday, April 7, 2013

“AIRTEL YATOSHA CONERT” LAFANA COCO BEACH JIJINI DAR ES SALAAM LEO



Ney wa Mitego msanii wa muziki wa Kizazi kipya Bongofleva akifanya jukwaani vitu vyake kwenye ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es salaam leo jioni katika tamasha la “Airtel Yatosha Concert” Wasiliana ndani na nje ya mtandao kwa bei poa kuanzia 349/= dakika 10 kupiga mitandao yote SMS 100 na 25MB Piga *149*99# utaona faida yake, katika tamasha hilo wamehudhuria mashabiki wengi wa muziki wa kzazi kipya na kupata burudani kutoka wasanii mbalimbali wakiwemo Madee wa TIPTOP Connection, Fid Q na wengine wengi.Msanii Madee kutoka kundi la TIPTOP Connection akifanya vitu vyake jukwaani huku mashabiki lukuki wakishuhudia.Fid Q akipagawisha mashabiki wake katika tamasha hiloMeneja Uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Jackson Mmbando akimkabidhi fulana mmoja wa wateja wa Airtel aliyeelezea vizuri kampeni ya Airtel YatoshaMeneja Uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Jackson Mmbando akizungumza na wateja wa Airtel na mashabiki waliojitokeza katika tamasha la Airtel Yatosha kwenye ufukwe wa Coco Beach leo jioni.Kikundi cha burudani kikitoa burudani kwa kuigiza kutangaza taarifa ya habari ya TelevisheniMashabiki hawatulii wote mikono juuHawa ilibidi waangalie burudani wakiwa juu ya mitiKazi ya kuwaunganisha wateja na mtandao wa Airtel ilikuwa ikiendelea kama kawaidaKundi zima la TIPTOP Connection likishabulia jukwaani

Tags: ,

0 Responses to ““AIRTEL YATOSHA CONERT” LAFANA COCO BEACH JIJINI DAR ES SALAAM LEO”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI