Tuesday, April 9, 2013

AJALI MBAYA:: HII IMETOEKA DARAJA LA MTO WAMI,GARI LATUMBUKIA MTONI











.

Ripoti ya mtangazaji wa Radio One na ITV Reuben Mchome kupitiamchomeblog.com imeamplfy kwamba ajali hii ilitokea Mto Wami baada ya tela la lori hili la mafuta kukatika na kuponea kwa asilimia ndogo sana kuzama kwenye mto huo ambao kwenye ripoti kadhaa umeripotiwa kuwa na Mamba.

Mpaka lori hilo linaondolewa kwenye eneo la ajali, maelfu ya abiria walikwama kwa muda wa zaidi ya saa sita ambapo kwa pande zote mbili watu walilazimika kusubiri na foleni ilikua kubwa sana pia.

Mwaka jana kulikua na taarifa ya lori la mkaa kugonga kuta za mto huo na kuzama huku likiwa na kondakta wake pamoja na dereva waliodaiwa kufariki.




.




.




.

Tags:

0 Responses to “AJALI MBAYA:: HII IMETOEKA DARAJA LA MTO WAMI,GARI LATUMBUKIA MTONI ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI