Wednesday, April 3, 2013

BREAKING NEWS: HALI NI MBAYA HUKO TUNDUMA....MABOMU KILA MAHALI NA WATU WAMEAMRIWA WASITOKE NJE


Masaa takribani matano mabomu ya machozi na risasi za moto zinasikika mataili yamechomwa barabarani maduka yote yamefungwa...
Ni mshikemshike kati ya vyombo vya dola na raia hadi sasa msikiti mmoja umechomwa moto maeneo ya mwaka na kisimani 
Hali ni mbaya zaidi kwan mabomu ya mochozi yanapigwa hadi vyumbani. 
Imetollewa amri watu wote walale majumbani kwao
Chanzo cha tatizo ni waislamu na wakristo.Wametofautiana juu ya suala na kuchinja...

Tags:

0 Responses to “BREAKING NEWS: HALI NI MBAYA HUKO TUNDUMA....MABOMU KILA MAHALI NA WATU WAMEAMRIWA WASITOKE NJE”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI