Wednesday, April 10, 2013

KUTOKA TCRA,WALE MNAOTUMIA LINE HAZIJASAJILIWA!







Ukikutwa unatumia line ya simu ambayo haijasajiliwa jela miezi mitatu au faini milioni tano au vyote viwili. 
Sababu kumekuwa na hali ya watu kutishiwa maisha kila kukicha kupitia simu za mkononi.

CREDIT- DINA MARIOUS BLOG

Tags:

0 Responses to “KUTOKA TCRA,WALE MNAOTUMIA LINE HAZIJASAJILIWA! ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI