Friday, April 12, 2013

Kuwa wa Kwanza Kuusikiliza Wimbo mpya wa Diamond unaitwa Mapenzi Basi




Baada ya kutamba na kufanya vizuri sana na ngoma yake ya Kesho alioifanya kwa Marco Chali, sasa msanii Diamond ameamua kuachia ngoma yake nyingine mpya inayokwenda kwa jina la ''MAPENZI BASI''.
MAPENZI BASI ameifanyia ndani ya Studio za AM Records chini ya Producer Maneck.
Be the first one kuisikiliza ngoma hii hapa chini :
Click Hapa Kuusiliza Ama Kudownload

Tags: ,

0 Responses to “Kuwa wa Kwanza Kuusikiliza Wimbo mpya wa Diamond unaitwa Mapenzi Basi”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI