Home
» siasa
» Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Philip Mangula na Mkewe Yolanda Kaberege Wameremeta
Sunday, April 7, 2013
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Philip Mangula na Mkewe Yolanda Kaberege Wameremeta
Sunday, April 7, 2013 by Unknown
Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Philip Mangula na Mkewe Yolanda Kaberege leo wakiingia kanisani
Akifungisha Ndoa Hiyo Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kusini Njombe Isaya Mengele Amekumbusha Maneno ya Mungu na Kuwataka Wanandoa Kuishi Kwa Misingi ya Dini Kama Ilivyoelekezwa Kwenye Vitabu Vya Dini.
Kushoto ni msemaji wa familia ya mzee Philip Mangula Dr.Lechion Kimilike ambaye ni Mhadhiri wa chuo kikuu huria cha Tanzania Tawi la Njombe[NJOMBE OPEN UNIVERSITY].
Kulia ni mkuu wa wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba akiwa na waziri mkuu Mizengo pinda katikati akifuatiwa na Katibu mkuu wa CCM.
Waziri mkuu Mizengo pinda akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa wilaya ya Njombe bwana Lupyana Fute[Jacky's]ambaye ni diwani wa kata ya Njombe mjini leo wakati wa Harusi ya Mzee Philip Mangula.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana Katika harusi ya mzee Mangula leo Njombe.
Hapa ni ndani ya kanisa la KKKT Dayosisi ya kusini Njombe Mjini ambako pingu za maisha kwa mzee wetu Mangula zimefungwa.
Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Philip Mangula na Mkewe Yolanda Kaberege leo wakifunga pingu za maisha. Picha na Gabriel Kilamya.Picha Zote na Picha na Gabriel Kilamya

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Philip Mangula na Mkewe Yolanda Kaberege Wameremeta ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.