Monday, April 1, 2013
Mange Kimambi Afungua Kiwanda cha Nguo Dar
Monday, April 1, 2013 by Unknown
ONE OF MY BIGGEST DREAMS IS FINALLY COMING TRUE.
I HAVE ALWAYS DREAMT OF SETTING UP A HUGE BONGOLICIOUS PRODUCTION FACTORY IN TANZANIA.
ALTHOUGH THIS IS NOWHEERE CLOSE TO A HUGE PRODUCTION FACTORY BUT IT'S A GREAT START
THIS TIME SIKUJA TU BONGO KUUZA ZILE NGUO ZA READY MADE ILA PIA NILIKUJA KUFANYA MAJARIBIO YA KUPRODUCE NGUO ZA VITENGE HAPA HAPA TANZANI.
NILIFANYA MAJARIBIO YA NGUO 500. NILIKUSANYA MAFUNDI 9. 7 WANAAUME NA 2 WANAWAKE. I BROUGHT WITH ME HIGH END PRODUCTION SKILLS AND TECHNOLOGY FROM THE US.
YANI WALITUMIA HIZO HIZO CHEREHANI ZAO WAKAONGEZEA NA UJUZI NILIOWALETEA KUTOKA MAREKANI NA WALIWEZA KUNITENGENEZEA NGUO ZENNYE QUALITY KAMA ZILE ZILE NAZOTENGENEZA MAREKANI....
KWA KWELI IM SO AMAZED. SASA NNA MPANGO WA KUWAPANGIA SEHEMU KUBWAAAA ZAIDI NA KUWALETEA CHEREHANI MPYA KABISAAAAAA KUTOKA CHINA (OFCOURSE) ILI WAWEZA KUFANYA KAZI KWA HARAKA ZAIDI.
GUYS NDANI YA SIKU 12 NILIZOKAA BONGO MAFUNDI 9 WAMEWEZA KUNITENGENEZEA NGUO KARIBIA 500. ISNT THAT AMAZING????
JAMANI MIE I LOVE LOVE LOVE TANZANIA,YANI HAKUNA SEHEMU DUNIANI NAIPENDA KAMA TANZANIA NA SASA HIVI NAVYOONA KUWA HATA BIASHARA YANGU ITAWEZA KUONGEZA AJIRA NCHINI MWANGU
KWA KWELI IM VERY VERY VERY PROUD OF MYSELF.....
YANI FOR 12 DAYS HAWA MAFUNDI WAMENIAMBIA WAMETENGEZA PESA NYINGI KWA WAKATI MMOJA WHICH MEANS WANAWEZA KUTUMIA PESA YAO KUFANYIA KITU CHA MAANA MAANA WAMEZOEA KULIPWA
PESA YA NGUO MOJA MOJA AMBAYO MWISHO WA SIKU HAIWASAIDII SANA ZAIDI YA KUWASAIDIA KULA CHAKULA TU.
KWA KWELI I WAS TOUCHED TO HEAR THIS...
ANWAYS SIWEZI KUSEMA MIE NIMEWASAIDIA WAO TU, NA WAO WAMENISAIDIA MIMI SANA SABABU IT WAS VERY EXPENSIVE KUTENGENEZA NGUO MAREKANI.....
KWA SASA HIVI NTAENDELEE KUSHONA SOME NGUOS MAREKANI NA NYINGINE TANZANIA MPAKA HAPO PRODUCTION CHANNEL YANGU YA TANZANIA ITAKAPOKUWA STABLE.....
THERES A LOT OF INVESTMENT TO BE DONE BUT IM VERY OPTIMISTIC KWA KWELI......
NA WENYEWE WAPO VERY VERY EXCITED KUSHONA NGUO AMBAZO ZINAENDA KUUZWA NJE YA TANZANIA.
KUANZIA SASA KUTAKUWA KUNA NGUO ZA BONGOLICIOUS AMBAZO LABEL ITASEMA MADE IN TANZANIA NA ZINGINE MADE IN USA.
GUYS MSIOGOPE KABISA KUNUNUA HIZI NGUO ETI SABABU ZIMETENGENEZWA TANZANIA, TRUST ME THEY ARE OF INTERNATIONAL STANDARDS.
WE NEED TO SUPPORT OUR OWN PEOPLE. NUNUA HATA NGUO MOJA UJARIBU KWANZA KABLA HUJAKANDIA KUWA NI CHA TANZANIA.....
NOW MTAELEWA JINA LA BONGOLICIOUS, THE VISION WAS AN AFRICAN INSPIRED/STYLE CLOTHING LINE OWNED BY A TANZANIAN AND PRODUCED IN BONGO/TANZANIA....HENCE THE NAME BONGOLICIOUS....
This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Mange Kimambi Afungua Kiwanda cha Nguo Dar”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.