Tuesday, April 9, 2013

Ni Nini Hasa Kinasababisha Biashara ya Umalaya Izidi Kukua Kwa Kasi Mno Tanzania?


Wadau, Gazeti Moja hapa Tz limetoa story kuhusu biashara ya umalaya mjini Dar es Salaam. Lakini umalaya ni tatizo nchi nzima. Mchana na mnajua lunch ndefu (saa 6-saa 8) gesti zote zimejaa! Bukoba gesti zote wanaweka maplastiki kwenye godoro shauri ya katerero. UKIMWI/AIDS na magonjwa mengine yanazidi kuwa tatizo sugu kwa nchi yetu. Lakini hii tatizo la umalaya haikuanza leo, upo miaka mingi sana. Sijui joto ndo inafanya watu wawe na ny*ge sana. Doh!

Mbaya zaidi ni ukweli kwamba wanaume wengi ukiongea nao kuhusu hii biashara huwa wanaikandia sana na kusema ni tabia mbaya lakini karibu ya hao wote huwa wanaitumia hii huduma (ya madada poa) several times a month. Tatizo hasa ni nini? Kwa nini madada poa wanaongezeka na wanunuzi wa huduma yao wanaongezeka Tanzania?

Tags: ,

0 Responses to “Ni Nini Hasa Kinasababisha Biashara ya Umalaya Izidi Kukua Kwa Kasi Mno Tanzania?”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI