Home
» udaku
» Shaa "Video ya Lava Lava ikifikisha 100,000 Views Basi Ntavua nguo zote na kuogelea Coco Beach Mchana Kweupe"
Wednesday, April 10, 2013
Shaa "Video ya Lava Lava ikifikisha 100,000 Views Basi Ntavua nguo zote na kuogelea Coco Beach Mchana Kweupe"
Wednesday, April 10, 2013 by Unknown
Coca Cola pop Star maarufu kwa jina la Shaa amedai kuwa yupo tayari kuvua nguo zake hadharani na kuyaanika maungo yake nyeti na kubakiza kichupi cha kuogelea tu endapo video yake mpya ya Lava Lava itafikisha views 100,000 katika mtandao wa youtube
“Lava Lava Video imefikisha views 44,000+ leo.Endapo itafikisha 100,000 basi ntavua nguo zote na kuogelea coco beach mchana kweupe lets do,”Alitweet Shaa katika mtandao wa kijamii wa Twitta na kuongeza
“Niliitupia kiutani tu nikidhani in one day kupata views elfu50 ni ngumu…sasa naona watu wameniamkia! Kwa spidi hii…mmmh…noma,” Tags: udaku
This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Shaa "Video ya Lava Lava ikifikisha 100,000 Views Basi Ntavua nguo zote na kuogelea Coco Beach Mchana Kweupe"”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.