Home
» siasa
» Ushauri Aliyoutoa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Naibu Katibu Mkuuwa Chadema Zitto Kabwe Kwa Chama Chake Cha Chadema Juu ya kesi inayomkabili mmoja wa viongozi waandamizi wa chama Ndg. Wilfred Lwakatare, Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa chama ni Huu
Sunday, April 7, 2013
Ushauri Aliyoutoa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Naibu Katibu Mkuuwa Chadema Zitto Kabwe Kwa Chama Chake Cha Chadema Juu ya kesi inayomkabili mmoja wa viongozi waandamizi wa chama Ndg. Wilfred Lwakatare, Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa chama ni Huu
Sunday, April 7, 2013 by Unknown
CHADEMA TAIFA VIPANDE VIPANDE! SOMA BARUA HII YA ZITTO
zitto kabwe ameandika barua kwa katibu mkuu dr slaa akitaka mambo mawili yafanyike ..
1.Lwakatare achunguzwe na chama
2.Lwakatare ajiuzulu nyadhifa zote alizokuwa nazo ndani ya chama
3. Ushauri huu usipofanyiwa kazi atafanya maamuzi magumu yatayokigharimu chama zaidi.
Taarifa zaidi kutoka ndani ya vyanzo zinaeleza kuwa kitilla mkumbo naye ameandika barua kama ya zitto lakini yeye anataka lwakatare atoswe kwa sababu ameshachafuka ili kukinusuru chama...
Taarifa zaidi zinaeleza kuwa ushauri huu umesababisha mtafaruku na mgawanyiko mkubwa ndani ya uongozi wa taifa kwani baadhi wanapinga ushauri na wengine wanaunga mkono.
Wanaopinga wanadai kuwa lwakatare alikuwa kazini hivyo lazima chama kimlinde hadi dakika ya mwisho..
Hata hivyo,Leo Zitto Kabwe amezijibu tuhuma za barua hii akiadai kushangazwa jinsi barua hii ilivyovuja na kuishia kusema kuwa kuna kirusi ndani ya chama chao
Source:Jamii Forums
Tags:
kitaifa ,
siasa

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Responses to “Ushauri Aliyoutoa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Naibu Katibu Mkuuwa Chadema Zitto Kabwe Kwa Chama Chake Cha Chadema Juu ya kesi inayomkabili mmoja wa viongozi waandamizi wa chama Ndg. Wilfred Lwakatare, Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa chama ni Huu”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.