Home
» kitaifa
» Waziri Mkuu Mizengo Pinda Awafariji Ndugu na Jamaa Waliopoteza Maisha Katika Ajali ya Kuporomokewa na Moramu Mkoani Arusha
Wednesday, April 3, 2013
Waziri Mkuu Mizengo Pinda Awafariji Ndugu na Jamaa Waliopoteza Maisha Katika Ajali ya Kuporomokewa na Moramu Mkoani Arusha
Wednesday, April 3, 2013 by Unknown
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitia sahihi kitabu cha maombolezo katika machimbo ya Moramu katika eneo la Moshono Mkoani Arusha, maporomoko hayo yametokea jana nakusababisha vifo vya watu 13 na majeruhi wawili ambao mmoja ameruhusiwa na mwingine amelazwa katika Hospitali ya Maunti meru.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akihutubia ndugu na jamaa ambao ndugu zao wamefariki katika machimbo ya Moramu katika eneo la Moshono Mkoani Arusha, maporomoko hayo yametokea jana nakusababisha vifo vya watu 13 na majeruhi wawili ambao mmoja ameruhusiwa na mwingine amelazwa katika Hospitali ya Maunti meru.
Sheikh akisoma dua
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikagua machimbo ya Moramu katika eneo la Moshono Mkoani Arusha, maporomoko hayo yametokea jana nakusababisha vifo vya watu 13 na majeruhi wawili ambao mmoja ameruhusiwa na mwingine amelazwa katika Hospitali ya Maunti meru.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipowasili mkoani Arusha leo Kuwapa pole ndugu na jamaa ambao ndugu zao wamefariki katika machimbo ya Moramu katika eneo la Moshono Mkoani Arusha, maporomoko hayo yametokea jana nakusababisha vifo vya watu 13 na majeruhi wawili ambao mmoja ameruhusiwa na mwingine amelazwa katika Hospitali ya Maunti meru.
Waziri Mkuu akipeana mkono na Askari wa Jeshi la Wananchi (jwtz) alipotembelea eneo la tukio.Picha na Chris Mfinaga
Tags:
kitaifa

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Waziri Mkuu Mizengo Pinda Awafariji Ndugu na Jamaa Waliopoteza Maisha Katika Ajali ya Kuporomokewa na Moramu Mkoani Arusha ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.