Monday, May 6, 2013

‘Adam Nditi’ aiponda show ya Diamond Uingereza, asema ‘aibu tupu



Mtanzania anayechezea Chelsea ‘Adam Nditi’ aiponda show ya Diamond Uingereza, asema ‘aibu tupu’


“Diamond jana manyago aibu tupu waswahili lazima tubadilike it’s embarrassing,” ametweet.

“Hajafanya jambo lolote ila shoo ilikuwa haina very unprofessional kwenye tangazo walisema inaanza saa 3 usiku jamaa amefika saa 1 asubuhi.”

“Jukwaa lilikuwa ovyo kama vile watu hawajalipa kumuuona mmoja Wa wasani wanaotamba bongo nyimbo zilikuwa zinapigwa redioni alikuwa haimbi.”

Diamond yupo ziarani nchini Uingereza.

source:bongo5.

Tags:

0 Responses to “‘Adam Nditi’ aiponda show ya Diamond Uingereza, asema ‘aibu tupu”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI