Monday, May 6, 2013

BREAKING NEWS: FIFA YAAMURU MCHAKATO WA UCHAGUZI MKUU WA TFF UANZE UPYA - MALINZI, WAMBURA, WOTE NDANI SASA

Wiki kadhaa baada ya shirikisho la soka duniani kutuma ujumbe wake kuja kufuatilia suala la uchaguzi mkuu wa TFF uliogubikwa na matukio kadhaa ya utata, leo hii shirikisho hilo la soka duniani limetoa maamuzi ya mchakato wote wa uchaguzi mkuu wa TFF kuanza upya, kwa maana wale wagombea wote waliokatwa wanaweza kurudi kwenye mchakato wa uchaguzi.

Taarifa nilizonazo FIFA imeshatuma barua ya kuelezea uamuzi kwa TFF na muda mchache ujao TFF inatarajiwa kutoa taarifa rasmi kuhusu uamuzi huo wa FIFA.

Kwa taarifa zaidi kuhusu suala hili endelea kutembelea www.shaffihdauda.com

Tags:

0 Responses to “BREAKING NEWS: FIFA YAAMURU MCHAKATO WA UCHAGUZI MKUU WA TFF UANZE UPYA - MALINZI, WAMBURA, WOTE NDANI SASA ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI