Monday, May 6, 2013

BREAKING NEWS ZA CLOUDSFM; Ruge amefunguka yake katika kipindi cha power breakfast cha cloudfm leo

Ruge amefunguka yake katika kipindi cha power breakfast cha cloudfm leo katika kujibu shutuma juu ya jay dee kumshutum kuharibu muziki wa kizazi kipya ,kaamuru nyimbo za bongo fleva kuto pigwa siku ya leo katika kipindi chake ikiwa ndo maamuzi binafsi kama kampuni kuamua kuchukua  nasio kupangiwa na mtu jus kwa matakwa yao wenyewe.


Tags: ,

0 Responses to “BREAKING NEWS ZA CLOUDSFM; Ruge amefunguka yake katika kipindi cha power breakfast cha cloudfm leo”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI