Monday, May 6, 2013

CHEKI PICHA HAPA CHRIS BROWN AKISHEHEREKEA KUTIMIZA UMRI WA MIAKA 24 LAS VEGAS









Siku ya Jumamosi mtu mzima Chris Brown aliweza kujichanganya na washkaji zake mjini Las Vegas ku celebrate birthday yake akiwa anatimiza umri wa miaka 24.

Brown alijiachia na washkaji kibao akiwemo Fabolous at 1 OAK nightclub ambapo baadae Chris was presented with a cake in the shape of his Black Pyramid clothing line logo na kupata vinywaji kama kawiz watu waka dance na mziki wa DJ Que and DJ Triple XL hadi jogoo

Baadae Brizzy aliptupia ujumbe kwenye ukurasa wake wa twitter usemao..
“Do too wasted at the party. Threw up crazy!! Lol!” tweeted a drunk Breezy, whose actual



Tags:

0 Responses to “CHEKI PICHA HAPA CHRIS BROWN AKISHEHEREKEA KUTIMIZA UMRI WA MIAKA 24 LAS VEGAS ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI