Tuesday, May 7, 2013

CHRIS BROWN , RIHANNA WAINGIA KATIKA VITA KUBWA YA MANENO WATUPIANA VIJEMBE LIVE: SOMA STORI KAMILI HAPA







Baada ya juzi taarifa kuenea kuwa Chris na Rihanna wameachana kumetokea bifu zito baina ya wawili hao mpaka kufikia hatua ya kuanza kutupiana maneno kupitia katika mtandao wa twitter huku ikionyesha dhahili mwana dada Rihanna amechukizwa na kitendo cha Chris kurudiana na ex-girlfriend wake wa zamani Karrueche Tran ambae alikuwa nae pamoja katika birthday yake ambapo Chris alikuwa anatimiza umri wa miaka 24 siku ya ijumaa, 3 may.

Kupitia account yake ya twitter mapema leo Rihanna alitweet na kuandika kuwa:“Settling is not an option! Nothing less than 100% loyalty, honesty, and respect!! Love ain’t for kidz #butimsleeptho.”

Baada ya kula bata vilivyo leo siku ya may 7 chris alizama katika account yake ya twitter na kukutana na ujumbe huo uliokuwa ukimlenga yeye na ndipo alipoa amua kujibu kwa kuandika:“Sometimes loving someone is too much! So loving from a distance will help everyone grow! Be blessed. Live ya life!”

it sounds like there’s definitely some bad blood between these on-and-off lovers and Karrueche is the serious problem!



Tags:

0 Responses to “CHRIS BROWN , RIHANNA WAINGIA KATIKA VITA KUBWA YA MANENO WATUPIANA VIJEMBE LIVE: SOMA STORI KAMILI HAPA ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI