Sunday, May 12, 2013

Diva Loveness Ndani ya Beef Zito na Boss lady wa Kenya Huddah Monroe kuhusu Penzi la Prezzo

Vita kali ya matusi ya nguoni imeibuka kati ya Loveness Diva wa Bongo na Lady Boss wa Kenya kisa kikiwa na PENZI LA PREZZO..... 



Mwanadada maarufu nchini Kenya maarufu kwa jina la Huddah Monroe leo ameingia kwenye bifu kali na Tanzanian Diva, Loveness Love, kwa madai kwamba Diva ameparamia penzi la mpenzi wake ambaye ni prezzo....

Mrembo huyu anashangaa kuingiliwa penzi lake na mtu kama Diva....Kwa upande wake anamchukulia Diva kama mwanamke mchafu, Njiti,asiye na makalio ya kuvutia na kahaba......




Naomba nisiyamalizie matusi yao.....Hizi ndo tweets za huyo mrembo wa kenya...

Tags:

0 Responses to “Diva Loveness Ndani ya Beef Zito na Boss lady wa Kenya Huddah Monroe kuhusu Penzi la Prezzo ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI