Home
» burudani
» Huyu Ndio Kijana Atakaye Enda Kuiwakilisha Tanzania Ndani ya Jengo la Big Brother South Africa
Thursday, May 9, 2013
Huyu Ndio Kijana Atakaye Enda Kuiwakilisha Tanzania Ndani ya Jengo la Big Brother South Africa
Thursday, May 9, 2013 by Unknown
Rumors mtaani zina tiririka kwamba eti aliyewahi kuwa mtangazaji wa Clouds Tv Romeo Rommy Jones ndo mtanzania atakayetuwakilisha katika reality tv show maarufu barani africa inayoitwa Big Brother Africa 2013 itakayoanza tarehe 25 mwezi huu wa May, baada ya taarifa hizo kufika mezani kwa muhariri wa gazeti la makorokocho ikabidi nijaribu e kutafuta ukweli wake, nilicheki na Rommy Jones alikanusha ila kwa haraka haraka ukanushaji wake una kitu ndani, siku ishia hapo nikacheki na Afisa Mahusiano wa Multi Choice Tanzania Bibie Babra Kambogi yeye hakukanusha wala kukubali, zaidi akasema jina la mwakilishi wa Tanzania ni siri na siri hiyo itakuja kufichuka Tarehe 25 May 2013, ambapo tutaweza kujionea Live mshiriki huyo akiwakilisha ndani ya Jumba la Big Brother lililopo Africa kusini
Tags:
burudani

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 Responses to “Huyu Ndio Kijana Atakaye Enda Kuiwakilisha Tanzania Ndani ya Jengo la Big Brother South Africa ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.