Sunday, May 12, 2013
JE UMEIPATA KALI YA LEO ;WALIOMPELEKA LADY JAYDEE MAHAKAMANI........HAWA HAPA
Sunday, May 12, 2013 by Unknown
Taarifa zilizotufikia ambazo bado zipo chini ya kapeti ni kwamba Kampuni ya Clouds Media Group, imeamua kumfungilia mashitaka msanii nguli wa Bongo Fleva na kiongozi wa bendi ya Machozi, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’. Clouds imeamua kufungua mashitaka hayo baada ya Lady Jaydee kuwachafua viongozi wawili wa juu wa kampuni hiyo ambao ni Mkurugenzi Mtendaji , Joseph Kusaga na Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo, Ruge Mutahaba katika mitandao ya kijamii hivi karibuni. Lady Jaydee anatakiwa kuripoti katika Mahakama ya Kinondoni kukabiliana na tuhuma hizo.

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 Responses to “JE UMEIPATA KALI YA LEO ;WALIOMPELEKA LADY JAYDEE MAHAKAMANI........HAWA HAPA ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.