Home
» burudani
» KWA NINI AKINA DADA WANAIPENDA STAILI HII??? ..JE, NI TUSI , FASHENI AU NI BUSU ???
Thursday, May 9, 2013
KWA NINI AKINA DADA WANAIPENDA STAILI HII??? ..JE, NI TUSI , FASHENI AU NI BUSU ???
Thursday, May 9, 2013 by Unknown
Mambo vipi Mpekuzi...!!
Kuna kitu kunaniumiza sana akilini.....Kinaniumiza kwa sababu kila nikifikiria huwa sipati jibu.
Kitu chenyewe ni hii staili mpya ya UWEKAJI WA MDOMO kwa dada zetu wakati wa kupiga picha......
Hiyo staili yao ya "mdomo" humaanisha nini???....Je ni "Tusi" flan au ni "fasheni" tu ???
Kwa kweli ni kitu kinachonitatiza....Utakuta dada ni mzuri.... nikiwa na maana kwamba ni kifaa, lakini naye Kauvuta mdomo, pembeni kidogo kaupanua ,alafu kaunyonga....Nadhani kuna maana flani iliyojificha
Nimeileta maada hii nikiwa na imani kuwa wasomaji wenzangu hasa akina dada watanipanua kimawazo na kunijuza zaidi....
Mdau wenu,
Mwanza.

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 Responses to “KWA NINI AKINA DADA WANAIPENDA STAILI HII??? ..JE, NI TUSI , FASHENI AU NI BUSU ??? ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.