Home
» celebrities
» Lady JayDee Afunguliwa Kesi Mahakamani........Unamjua Nani Aliefungua Kesi Hiyo?
Friday, May 10, 2013
Lady JayDee Afunguliwa Kesi Mahakamani........Unamjua Nani Aliefungua Kesi Hiyo?
Friday, May 10, 2013 by Unknown
Bado joto ya show ya mika 13 ya Lady JayDee inazidi kupanda kutokana na mengi yanayohofiwa kutokea siku hiyo.
Kwanza kulikuwa na tetesi kuwa huenda Clouds Fm wakafanya show nyingine siku hiyo, kitu ambacho Ruge Mutahaba alikifafanua vizuri kwa kusema mtu ukiwa na shughuli haimaanishi kuwa wengine wasifanye shughuli nyingine kama hiyo.
Lakini sasa kuna jingine ambalo limejitokeza, na amelisema mwenyewe Lady JayDee....
Kupitia akaunti yake ya Twitter Jide ameandika:
“Nimepata taarifa zisizo rasmi kuwa nimefunguliwa kesi mahakamani natumaini sitaitwa kizimbani tar 31 May ambayo ndio siku ya show.”

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 Responses to “Lady JayDee Afunguliwa Kesi Mahakamani........Unamjua Nani Aliefungua Kesi Hiyo?”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.