Tuesday, May 7, 2013
LIVE: SALAMA JABIR "AKIBADILISHANA MATE" NA NJEMBA HADHARANI
Tuesday, May 7, 2013 by Unknown

Mambo vipi wadau....
Katika pitapita zangu nimefanikiwa kumnasa live Salama Jabir akinyonyana ndimi bila chenga na mwenzake...!!
Nashindwa kuthibitisha huyo wa pili ni nani na ni jinsia gani....nikimwangalia haraka haraka naona kama ni mwanaume na namfananisha na mdogo wake Wema Sepetu aitwaye Bill Sepetu.....
Nikijaribu kukaza macho kwa kwa makini, huyo wa pili namuona kama ni mwanamke kutokana na vazi lake.Hicho cha mabegani nakifananisha na sidiria za akina dada....!!
Yaani nimeumiza macho mpaka yanauma...Nashindwa kuyaamini macho yangu kuhusu Salama Jabir.Sikutegemea
..!!
Ni mimi,
Mdau wenu...
CREDIT-MDODOSAJI BLOG

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “LIVE: SALAMA JABIR "AKIBADILISHANA MATE" NA NJEMBA HADHARANI ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.