Sunday, May 5, 2013
Mange Kimambi "Jamani Natangaza Rasmi Kuachana na Hii Vita-Tuheshimiane"
Sunday, May 5, 2013 by Unknown
Atakae anza tena kunitafuta nitamkalia kimya mpaka hapo uvumilivu wangu utakapo nishinda.
Nikaona itakuwa si sawa kama ntaondoka vitani bila kuwapa one for the road...
This is special dedication to Mrs. Bankruptcy... Yani huu wimbo maneno yake utadhani walikuwa wanamuandika yeye wakati wanautunga....lol....
Haswaaa dakika ya 3.41.
'Maisha kutafuta sio kutafutana'
PS. Hata msipoandika jina langu mkiandika Miami tu naanza kuhesabu, hata mkiandika USA ntajihisi ni mimi (utadhani mtz peke yangu nipo USA)....hehehehhehe
yani ni hivi sisemagi mtu mafumbo humu staki kusemwa kimafumbo atakaejifanya anapenda ugomvi anaweka comment za kunihusu
ntamnyamazia kwa muda ili siku nikilipuka mtu asinilaumu na yeye pia ajue ndo alikuwa ananichokoa. Jamani naomba discipline.....
Mie ntaendelea kufanya kama zamani nablog about my life sina time na mtu. PLEASE DO THE SAME......
This blog is about Mange Kimambi's life, mashauzi yangu, biashara yangu, familia yangu etc. Kama hupendi the way i blog or live my life kwanini
unajipandisha BP kwa kuingia humu????Katembelee blog ambazo hazina makuu kama michuzi blog etc. Ukiingia humu it means umekubaliana na the way i live my life...." Says Mange
Tags:
udaku

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Responses to “Mange Kimambi "Jamani Natangaza Rasmi Kuachana na Hii Vita-Tuheshimiane" ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.