Saturday, May 11, 2013
Mawakili wa Chadema vs Mawakili wa Serikali
Saturday, May 11, 2013 by Unknown
Mawakili wa Chadema kwa siku za hivi karibuni wanaonekana kuwa mwiba zaidi ukiringanisha na mawakili wa serikali,nataka kujua kwa nini imekuwa hivo?kwani sifa ya kusoma degree ya sheria si zinalingana vyuo vyote?sasa iweje hawa wa serikali wanaonekana kama kidogo hawako vizuri katika kutetea na kujenga hoja mahakamani ukiwalinganisha na wale wa Chadema.Naomba wadau tujadili
Tags:
siasa
This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Mawakili wa Chadema vs Mawakili wa Serikali ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.