Home
» kitaifa
» Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi mrefu Tanzania
Sunday, May 5, 2013
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi mrefu Tanzania
Sunday, May 5, 2013 by Unknown
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi mrefu na tabia njema, Sajini Meja kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania, Afisa Mnadhimu idara ya Upelelezi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Brown Lekey kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania, Mkuu wa Kitengo cha maadili, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Patrick Byatao kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi mrefu Tanzania, Mkuu wa Mafunzo wa Jeshi la Polisi Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Elice Mapunda kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya Mwenge wa Uhuru daraja la nne, Mrakibu Mwandamizi, Athumani Mwambalaswa kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya mwenge wa uhuru daraja la nne, Sajini Martha Njau kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi mrefu Tanzania”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.