Friday, May 10, 2013

MSIKILIZE WEMA SEPETU AKIFUNGUKA KWA NINI ANAPENDA SANA INSTAGRAM KULIKO FACEBOOK NA TWITTER

The Sound bite ni kitu kipya hapa Bongo5. Utakuwa ukisikiliza sauti za maceleb mbalimbali wa Tanzania wakizungumza kwa ufupi kuhusu masuala mbalimbali katika maisha yao ya kawaida, wanachopenda, wanachosikiliza, wanachochukia na mambo mengine ya kawaida katika maisha yao. Msikilize hapa Wema Sepetu akielezea kwanini anapenda zaidi kutumia mtandao wa kijamii wa Instagram kuliko Twitter na Facebook.
d1c64406b95c11e280ad22000a1fbe2f_7
CHANZO : BONGO5
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Tags:

0 Responses to “MSIKILIZE WEMA SEPETU AKIFUNGUKA KWA NINI ANAPENDA SANA INSTAGRAM KULIKO FACEBOOK NA TWITTER ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI