Sunday, May 5, 2013
NANCY MOSHI AWA MISS ARUSHA CITY CENTRE 2013.
Sunday, May 5, 2013 by Unknown
Redd's Miss Arusha City Centre 2013 Nancy Moshi akiwa katika picha ya pamoja na na mshindi wa pili Glory Steven (kushoto) na mshindi wa tatu Neema Kessy (kulia) mara baada ya warembo hao kutangazwa kuwa ndio washindi wa shindano hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika hotel ya kitalii ya Snow Crest jijini Arusha..
Tags:
celebrities

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “NANCY MOSHI AWA MISS ARUSHA CITY CENTRE 2013. ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.